Christian Countries hakuna masikini, kwanini?

Christian Countries hakuna masikini, kwanini?

kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini? Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa na Dini pia ni masikini kwa nini unafikiri christian countries zote zimeendelea kwenye human rights, democracy, human development very high, sababu ni ipi unadhania ?

Mkuu inategemea na tafsiri yako kuhusu umasikini. Kwa taarifa yako Kabla ya ukoloni hapakuwepo mwafrika wala mueshia aliyekuwa masikini.
 
Una hadithi tu wewe...
Kuwa wakristu sio kuongoza kikristo, unajua nchi ulizotaja ndio ziliongoza kununua na kutumikisha watu weusi..

lkn bado hao weusi walionunuliwa wana maisha mazuri klk weusi wote dunia hii, per capital income ya black amerika is one of the highest in the world …
 
Mkuu inategemea na tafsiri yako kuhusu umasikini. Kwa taarifa yako Kabla ya ukoloni hapakuwepo mwafrika wala mueshia aliyekuwa masikini.

really? halafu nini kikatokea?
 
Tutajie hizo ncho nchi za Kikristo tutazame kama kweli hakuna masikini.
South Africa, most of Europe countries, North and South American countries.

Nchi za magharibi na Ulaya asilimia kubwa ni za wakristo. Nchi za mashariki ya kati na Afrika nyingi ni za waislamu
 
South Africa, most of Europe countries, North and South American countries.

Nchi za magharibi na Ulaya asilimia kubwa ni za wakristo. Nchi za mashariki ya kati na Afrika nyingi ni za waislamu
kwaiyo nch za kidini kumbe kwaiyo zinatawalia na sheria za kikiristu

au mnachanganya wafuasi wa nch na uongozi wa nchi?
 
South Africa, most of Europe countries, North and South American countries.

Nchi za magharibi na Ulaya asilimia kubwa ni za wakristo. Nchi za mashariki ya kati na Afrika nyingi ni za waislamu
Unajua todauti ya kuwa na wakazi wakristu/waislam na kuongozwa kidini??
 
kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini? Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa na Dini pia ni masikini kwa nini unafikiri christian countries zote zimeendelea kwenye human rights, democracy, human development very high, sababu ni ipi unadhania ?
Kwa sababu aliahidi hivyo....na yeye si mtu hata aseme uwongo na si mwanadamu hata ajute.
 
kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini? Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa na Dini pia ni masikini kwa nini unafikiri christian countries zote zimeendelea kwenye human rights, democracy, human development very high, sababu ni ipi unadhania ?
Mkuu jitahidi usome vizuri na uwe na information sawa. Hiki unachosema si kweli kabisa. Ufilipino ni kati ya nchi yenye wakatoliki wengi na ni kati ya nchi ambayo ina gap kubwa baina ya masikini na matajiri na kuna wauza ngada wa kutosha na maskini kweli. Same to Brazil pia. Nchi nyingi za South America zina idadi kubwa ya wakristo hasa ukatoliki lakini zina gap kubwa baina ya walicho nacho na wasionacho. Halafu madawa ya kulevya sana.
Hivyo unaposema hakuna nchi... Hiki si kweli.
Halafu kuna nchi za kiarabu zina per capital income nzuri na maisha mazuri kwa raia wake wote kutokana na kuwa na idadi ndogo ya raia, mifumo mizuri ya afya na elimu na yote unakuta ni bure.
Mfano nchi kama Qatar, Brunei
 
USA ni nchi ya kikrusu??
Uislamu Marekani umeingia miaka ya juzi, ndio maana Misikiti Marekani ni michache ukilinganisha na makanisa... Enzi za watumwa wamishionari wa kikristo waliondoka na waafrika wengi kwenda Marekani na nchi za carrebean, huko wakristo ni buku jero....

Ukienda Latin America kama Brazil, Mexico, na za ukanda huo wengi ni wakatoliki
 
haujelewa labda nilichomaanisha, kuna nchi nyingi zinafwata dola ya kiislamu lkn ni masikini lkn hakuna nchi iliuokuwa dola ya ukristu ambayo ni masikini …
Mfano wa hizo nchi ambazo ni dola za Kikristo?
 
Mifumo ya kikiristo ni mifumo ya uwekezaji kifkra kwenye rasilimali watu, kibiashara na kiuchumi dunia nzima. Hiko ndicho kinachowafanya wasiwe masikini. Wamewekeza na sasa wanavuna tu.

Mwanzo waliwekeza kwenye missionalies... Walijenga hospitalis, shule, vyuo, viwanda nk. Walitoa huduma kwa ghalama za chini kabisa wakijua watavuna ingawa kidogo ila endelevu kwa miaka mingi. Hadi karne.

Wewe chukulia leo ukitoa sadaka ya sh.elf10 , , inapelekw palokia, palokia inatoa asilimia inaenda kwa kadinari na kadinali anatoa asilimia inaenda huko vatikani.fikilia kwa dunia nzima.

Kwa mfumo huu kwanini kama kuna kanchi kana watu wao na kanayumba kwanini wasiende kuwekeza na baadae kuvuna?

Kwa ufupi baada ya mifumo ya kiserikali inayofuata ni mifumo ya ukiristo. Leo hii mifumo ya kiserikali ya vyama ikizimwa basi mifumo ya ukiristo haina kujipanga.inaweza kusimamia binadamu na maisha yataenda bila ya shida.

Dini zingine kama uislam bado hazijaamka kuwekeza kiuchumi, wao wamesimamia imani tu. Hivyo bado hawawezi au hawana sera za kiuchumi na kusimamia rasilimali watu.
Hivyo ni vigumu kuendelea zaidi kiuchumi.na hata wakiwekeza ni kwenye nchizao tu kutokana na rasilimali za nchi zao.

Hebu chukulia hata kwenye siasa za nchi bila ya dini..ukiangalia kati ya yale makoloni yaliyotawala afrika nchi zilizofanikiwa kuacha sera za nchi kujiongoza kisiasa na uchumi ni uingereza na ufaransa tu.zilizobaki zote zimeondoka bila ya kuwachia waafrika mifumo ya kujiendesha.
 
Mada kama hizi zinamchango mdogo sana katika maendeleo ya Taifa ila si ajabu ukakuta humu watu wanabishana kabisa ..
 
Back
Top Bottom