Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Naweka tu tahadhali, alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench.
Umri unakataa; moyo unataka lakini mwili unakataa. Amekuwa mchezaji bora kwa miaka mingi. Amevuna pesa nyingi sana kutokana na uchezaji. Sasa ulikuwa wakati mzuri wa kustaafu akiwa na heshima.
Huko mbeleni atajikuta anatolewa kwa mkopo Simba. Akija Simba anacheza match moja Coach Mbrazili anamtoa. Baadaye anatolewa kwa mkopo Ihefu. Basi huko anacheza cheza matches kadhaa then wanamwacha.
Inawezekana bado anaupenda mpira but mpira umemchoka kwa sasa unataka aagane nao. Yeye analazimisha ndoa kama Dr. Mwaka.