Christian Ronaldo atastaafu kwa aibu sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Naweka tu tahadhali, alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench.

Umri unakataa; moyo unataka lakini mwili unakataa. Amekuwa mchezaji bora kwa miaka mingi. Amevuna pesa nyingi sana kutokana na uchezaji. Sasa ulikuwa wakati mzuri wa kustaafu akiwa na heshima.

Huko mbeleni atajikuta anatolewa kwa mkopo Simba. Akija Simba anacheza match moja Coach Mbrazili anamtoa. Baadaye anatolewa kwa mkopo Ihefu. Basi huko anacheza cheza matches kadhaa then wanamwacha.

Inawezekana bado anaupenda mpira but mpira umemchoka kwa sasa unataka aagane nao. Yeye analazimisha ndoa kama Dr. Mwaka.
 
Naweka tu tahadhali. Alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench.

Umri unakataa. Moyo unataka lakini mwili unakataa. Amekuwa mchezaji bora kwa miaka mingi. Amevuna pesa nyingi sana kutokana na uchezaji. Sasa ulikuwa wakati mzuri wa kustaafu akiwa na heshima.

Huko mbeleni atajikuta anatolewa kwa Mkopo Simba. Akija Simba anacheza match moja coach mbrazili anamtoa. Baadaye anatolewa kwa Mkopo Ihefu. Basi huko anacheza cheza matches kadhaa then wanamwacha.

Inawezekana bado anaupenda mpira. But mpira umemchoka kwa sasa unataka aagane nao. Yeye analazimisha ndoa kama Dr. Mwaka...
Unakatwa
 
Mimi Yanga damu na Messi damu ila sisapoti kabisa it's nonsense yaani aache kucheza sababu Yako wewe au ushabiki wako Ronaldo bado mwache aendelee kutafuta Hela
 
Naweka tu tahadhali. Alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench.

Umri unakataa. Moyo unataka lakini mwili unakataa. Amekuwa mchezaji bora kwa miaka mingi. Amevuna pesa nyingi sana kutokana na uchezaji. Sasa ulikuwa wakati mzuri wa kustaafu akiwa na heshima.

Huko mbeleni atajikuta anatolewa kwa Mkopo Simba. Akija Simba anacheza match moja coach mbrazili anamtoa. Baadaye anatolewa kwa Mkopo Ihefu. Basi huko anacheza cheza matches kadhaa then wanamwacha.

Inawezekana bado anaupenda mpira. But mpira umemchoka kwa sasa unataka aagane nao. Yeye analazimisha ndoa kama Dr. Mwaka...

Kukaa siku nzima bila kumtaja "mnyama" unapungukiwa nini??
 
Nakukumbusha kilichopo kitakuwepo tu kwa muda, mda wa mwamba kutamba umekwisha lakini usisahau kaweka kumbukumbu zisizofutika.
 
Naweka tu tahadhali, alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench.

Umri unakataa; moyo unataka lakini mwili unakataa. Amekuwa mchezaji bora kwa miaka mingi. Amevuna pesa nyingi sana kutokana na uchezaji. Sasa ulikuwa wakati mzuri wa kustaafu akiwa na heshima.

Huko mbeleni atajikuta anatolewa kwa mkopo Simba. Akija Simba anacheza match moja Coach Mbrazili anamtoa. Baadaye anatolewa kwa mkopo Ihefu. Basi huko anacheza cheza matches kadhaa then wanamwacha.

Inawezekana bado anaupenda mpira but mpira umemchoka kwa sasa unataka aagane nao. Yeye analazimisha ndoa kama Dr. Mwaka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ili ushauri wako uwe na mashiko unapaswa uwe na viwili kati ya hivi;

1. Japo nusu ya pesa aliyokuwa nayo Ronaldo, hapa tutajua umetoa ushauri kwa kigezo cha uchumi ambacho una experience nacho.

2. Mafanikio yeyote katika soka la dunia aidha kama mchezaji au kocha. Maana hapo tutajua kuwa umechambua ukomo wa uwezo wake kwa kutumia vigezo vya taaluma.

Tofauti na hapo, hizi ni porojo kama porojo nyingine tu. Na asikudanganye mtu chief, hakuna fedheha kwenye pesa na ndio maana watu wanadiriki hata kuuana sababu ya mali, sembuse yeye aliyeenda kwenye dau kubwa huku akifanya kitu anachokipenda.

Aibu unayoongelea wewe mwenzio yupo katika yacht kipindi hicho bado upo JF unatoa utabiri ambao hata mfungua geti wa Ronaldo hautomfikia achilia mbali Ronaldo mwenyewe.
 
Back
Top Bottom