Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
He will score 20+ goals this season.Huyu gwiji mkongwe katika mpira ameshachoka sasa. Wakati ni ukuta, anatakiwa kujiongeza na kutunza heshima yake.
Wenzake wakifikisha miaka ya pensheni huwa wanakwenda marekani au uarabuni kula hela pasipo kamera nyingi na matarajio makubwa ya mashabiki.
Hakika football itaukumbuka uwezo wa winga huyu hatari lakini sasa asishindane na nyakati.
Yeah sure, he will do that from the bench.He will score 20+ goals this season.
He will score 20+ goals this season.
Kwamba yeye alianza football kwasababu Messi alianza?Ronaldo atastaafu km messi akistaafu
Una chuki na Manutd wewe! Leo umeangalia mpira? Mpaka timu pinzani ilimpa asist lakini, yeye na nyavu, kashindwa kufunga!Hawezi...alikosea sana kukataa kwenda man city wakati anatoka juve.
Man utd timu nzima ni mbovu..
Hapati assist za kutosha
Kwamba yeye alianza football kwasababu Messi alianza?
Anapewa offer arabuni anaringa.Anaamini bado yupo kwenye ubora wake ndio maana anataka bado kucheza uefa sasa na sehemu alipo ni bahati mbaya sana kwake
Jamaa anaamini hakuna mtu kama yeye.Tatizo lake anajiona ana ubora ambao kiuhalisia hana
Ukishakuwa mtu wa kujiona ni bora kuliko wengine hilo ni ttzJamaa anaamini hakuna mtu kama yeye.
Makali yake hayaonekani.Bado naamini ronaldo hajaisha.