Christiano Ronaldo aambiwe ukweli, muda umeshamtupa mkono, astaafu

Christiano Ronaldo aambiwe ukweli, muda umeshamtupa mkono, astaafu

Tumia akili japo kidogo tu,kuna sehemu nimesema anisikilize Mimi? na inawezekana akanisikiliza Mimi? au wewe ni mmoja wea wale wachekeshaji wa JF na ulitaka tu kufurahisha watu? mpira sio vichekesho.
Wewe mwenye akili niambie deal gani kubwa isha wahi kua signed kuliko hio ya CR7? yaani aache hela kisa watu wataongea?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom