Christiano Ronaldo aambiwe ukweli, muda umeshamtupa mkono, astaafu

Christiano Ronaldo aambiwe ukweli, muda umeshamtupa mkono, astaafu

Hakuna mchezaji tena hapo, Kwa nafasi alizopata Jana hata Kibu Denis angefunga 2 Kati ya 4.

Mechi ya siku 1. Haiamui ubora wa mtu.

Je hizo nafasi anazipata kila siku?

Man utd haina watoa assist wazuri.

Mechi nyingi za man utd magoli yanafungwa kwa uwezo binafsi wa mtu.

Mfano mechi na man city katika magoli matatu waliyopata utd , nitajie goli gani la man utd lilikuwa la kitimu?
 
Kamari yake ya kurudi man u alikosea sana
Messi mwezake alifanya chaguo sahh kwenda psg ije jua ije mvua ana uhakika wa kushiriki uefa
Mwisho wa yote kwenye maisha huwezi kupata kila kitu au kufanya maamuzi sahh wakt wote
Kweli kabisa, alitakiwa kwenda sehemu yenye mpira usiokuwa na ushindani sana.
 
Mashabiki wa nyumbu FC huwambii kitu kuhusu huyo mtu, japo sasa ni maji ya jion lkn wao wana iman nae yaan kama mazuzu
 
Mashabiki wa nyumbu FC huwambii kitu kuhusu huyo mtu, japo sasa ni maji ya jion lkn wao wana iman nae yaan kama mazuzu
Naona kiasi wameanza kumchoka japo wale mashabiki wake lialia hawakosekani.
 
Mashabiki wa nyumbu FC huwambii kitu kuhusu huyo mtu, japo sasa ni maji ya jion lkn wao wana iman nae yaan kama mazuzu
Ronaldo yupo nafasi ya 20 kwenye rank ya wachezaji bora messi hayupo kwenye list je nani anatakiwa kustaafu kwenye mpira
 
Cr7 anakimbizana na muda,haamini kua our life is coded with time,
Akili inataka ila mwili unagoma kutoa ushirikiano,

Ni kweli Pesa ni muhimu But CR7 hakua na umuhimu sana wa kwenda kucheza huko Saudi Arabi kisa hela,angestaafu kwa heshima.
 
Msimu uliopita aliweka rikodi nzuri, Yeye siye mchezaji pekee mwenye umri huo anayecheza, Kuhusu heshima bado anayo maana bado anapata mkataba wenye thamani ya juu.

Wakati wa kustaafu utafika atastaafu. Soka lake ndo linaelekea ukingoni. Messi naye anamalizia malizia, tutamiss kumtazama. Hope dunia itanyanyua vipaji vingine vya kuvutia kama vya Messi na Cr7.
 
Back
Top Bottom