Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #21
Football ya Uingereza imejaa ushindani sana, haimfai mtu wa umri wake.Anaamini bado yupo kwenye ubora wake ndio maana anataka bado kucheza uefa sasa na sehemu alipo ni bahati mbaya sana kwake
Kwasasa akili inataka lakini mwili unagoma.Tatizo lake anajiona ana ubora ambao kiuhalisia hana
Hakuna mchezaji tena hapo, Kwa nafasi alizopata Jana hata Kibu Denis angefunga 2 Kati ya 4.Hawezi...alikosea sana kukataa kwenda man city wakati anatoka juve.
Man utd timu nzima ni mbovu..
Hapati assist za kutosha
Anaogopa Messi asijekuchukua tuzo zaidi na makombe wakati wamepishana miaka miwili.Kinachomsumbua Ronaldo toka zamani ni kitu kimoja tu, kujiringanisha na Messi.
Hii kitu ndiye inayomharibu saaana Ronaldo.
Hakuna mchezaji tena hapo, Kwa nafasi alizopata Jana hata Kibu Denis angefunga 2 Kati ya 4.
Benchi itammalizaBado naamini ronaldo hajaisha.
😂😂Ronaldo aende kulea wajukuu.
Kamari yake ya kurudi man u alikosea sanaFootball ya Uingereza imejaa ushindani sana, haimfai mtu wa umri wake.
Kweli kabisa, alitakiwa kwenda sehemu yenye mpira usiokuwa na ushindani sana.Kamari yake ya kurudi man u alikosea sana
Messi mwezake alifanya chaguo sahh kwenda psg ije jua ije mvua ana uhakika wa kushiriki uefa
Mwisho wa yote kwenye maisha huwezi kupata kila kitu au kufanya maamuzi sahh wakt wote
Sahivi anapata assist ila hakuna kitu anafanya.. akili inataka mwili unakataaHawezi...alikosea sana kukataa kwenda man city wakati anatoka juve.
Man utd timu nzima ni mbovu..
Hapati assist za kutosha
Naona kiasi wameanza kumchoka japo wale mashabiki wake lialia hawakosekani.Mashabiki wa nyumbu FC huwambii kitu kuhusu huyo mtu, japo sasa ni maji ya jion lkn wao wana iman nae yaan kama mazuzu
Ronaldo yupo nafasi ya 20 kwenye rank ya wachezaji bora messi hayupo kwenye list je nani anatakiwa kustaafu kwenye mpiraMashabiki wa nyumbu FC huwambii kitu kuhusu huyo mtu, japo sasa ni maji ya jion lkn wao wana iman nae yaan kama mazuzu
Wakati hajawahi na hatawahi kumfikia messiKinachomsumbua Ronaldo toka zamani ni kitu kimoja tu, kujiringanisha na Messi.
Hii kitu ndiye inayomharibu saaana Ronaldo.
Msimu uliopita aliweka rikodi nzuri, Yeye siye mchezaji pekee mwenye umri huo anayecheza, Kuhusu heshima bado anayo maana bado anapata mkataba wenye thamani ya juu.Cr7 anakimbizana na muda,haamini kua our life is coded with time,
Akili inataka ila mwili unagoma kutoa ushirikiano,
Ni kweli Pesa ni muhimu But CR7 hakua na umuhimu sana wa kwenda kucheza huko Saudi Arabi kisa hela,angestaafu kwa heshima.
Ile pesa anapewa ni ndefu sana hivyo ninaona ni sahihi akaile huko. Kule hakuna presha kubwa ya ushindi kama ulaya hivyo ni pazuri kwa ajili ya kustaafia.Ni kweli Pesa ni muhimu But CR7 hakua na umuhimu sana wa kwenda kucheza huko Saudi Arabi kisa hela,angestaafu kwa heshima