Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Ndio ulikuwa muda sahihi wa kustaafuMadrid ndo ilimkataa cr7
Kwa mtazamo wa pesa sawa ila legacy yake ameivurugaMkuu kwann ustaafu na pesa bado inakutaka uikusanye.
Unaongelea pesa mm naongelea footballEmoji za vicheko kibao, nothing but hate.
Tofauti ya Ronaldo na wewe, Ronaldo anafanya kazi anayoifurahia hata akifukuzwa leo siku ya pili tu anapata timu. Kuna mahali ukifika hawaangalii tu unachodeliver uwanjani bali hata nje ya uwanja kinamatter. Ukiwa na Ronaldo una uhakika wa kukuza brand yako pakubwa sana.
Wabongo mnaombeana sana njaa.
Kule anavimeo vya ubakajiUnaletawa mikataba mezani na nguvu bado unazo unakubalije kustaafu
Warabu wakimkataa hawezi kukosa timu nadhani uelekeo utakua marekani
Kule anavimeo vya ubakajiUnaletawa mikataba mezani na nguvu bado unazo unakubalije kustaafu
Warabu wakimkataa hawezi kukosa timu nadhani uelekeo utakua marekani
Pesa Bob, hiz habar za legacy na nini huwa ni sugar coating tuKwa mtazamo wa pesa sawa ila legacy yake ameivuruga
Anaenda Al AhlyHadi waarabu hawamtaki CR7 ?
Hili swali ndio linatrend uko duniani
How comes arabs kick out CR7
Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati
Mtumbuizaji mahiri anajua wakati sahihi wa kuachia jukwaa CR7 hakujua wakati sahihi
Ronaldo hakutakiwa kwenda juventus au kurudi manchester united au kwenda uarabuni alitakiwa astaafu akiwa madrid
Wanasema km hadi waarabu wamemkataa ataenda wapi tena😁😁
Yeye analalamika anasema waarabu wamekuwa wasaliti kwake😁😁
Tujifunze kuheshimu wakati wakubwa
Muda ni rafiki katili sana😡
Broo yule hawezi kosa teamHadi waarabu hawamtaki CR7 ?
Hili swali ndio linatrend uko duniani
How comes arabs kick out CR7
Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati
Mtumbuizaji mahiri anajua wakati sahihi wa kuachia jukwaa CR7 hakujua wakati sahihi
Ronaldo hakutakiwa kwenda juventus au kurudi manchester united au kwenda uarabuni alitakiwa astaafu akiwa madrid
Wanasema km hadi waarabu wamemkataa ataenda wapi tena😁😁
Yeye analalamika anasema waarabu wamekuwa wasaliti kwake😁😁
Tujifunze kuheshimu wakati wakubwa
Muda ni rafiki katili sana😡
Analipwa parefu ila timu inazidi kupoteaMuda/umri umeyoyoma au waarabu wamemgomea?
Akabane na kina mayele mwakani😁Anaenda Al Ahly
Pesa ni sabuni ya roho siku zote pesa huwa hazitoshiMkuu kwann ustaafu na pesa bado inakutaka uikusanye.
Kwa hiyo hapo shida ipo upande gani?Analipwa parefu ila timu inazidi kupotea
NotedMuda ni rafiki katili sana