Christiano ronaldo amechokwa huko uarabuni anaelekea kunyimwa mkataba

Christiano ronaldo amechokwa huko uarabuni anaelekea kunyimwa mkataba

Al nassr walimpa mkataba tangu mwaka jana mwezi wa 12 akawapa starti ili asaini lazima wasajili vizuri wakamleta jhon dulan kutoka aston vila lakini bado haija mshawishi ni yeye mwenyewe hajaamua kusaini sio kwamba timu haijampa mkataba, ndio maana nimekuambia kiti usichojua ufiche upumbavu wako sio lazima kila mtu ajue, unamchukia mtu ambae chuki yako kwake haina madhara yoyote na hata hajui kama kuna kenge moja huko porini inamchukia
Kawadanganye wadada wenzio😁

Hivi mchezaji muhimu atabaki wiki moja kabla mkataba kuisha na bado hajapewa new contract?
 
Mbona nimesoma sehemu anahamia al hilal ya hukohuko saudi.
Al Hilal wanatumia nafasi yao ya kushiriki club world cup kusajili kumsajili cr Ronaldo.
Subiri tuone

Lkn sasa uyu kikongwe ataisaidia nn timu
 
Hadi waarabu hawamtaki CR7 ?

Hili swali ndio linatrend uko duniani

How comes arabs kick out CR7

Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati

Mtumbuizaji mahiri anajua wakati sahihi wa kuachia jukwaa CR7 hakujua wakati sahihi

Ronaldo hakutakiwa kwenda juventus au kurudi manchester united au kwenda uarabuni alitakiwa astaafu akiwa madrid

Wanasema km hadi waarabu wamemkataa ataenda wapi tena😁😁

Yeye analalamika anasema waarabu wamekuwa wasaliti kwake😁😁

Tujifunze kuheshimu wakati wakubwa

Muda ni rafiki katili sana😡
Ukisema waarabu unachanganya watu, sema wasaudia
 
Ronaldo naye aache tamaa na wakati ukuta umri umeshamtupa mkono aachie wengine wacheze.
 
1749448476069.jpg
vitendo dhidi ya maneno
 
Back
Top Bottom