Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
- Thread starter
- #21
Lugha isiyo rasmi ni kuwa ronaldo.ni zigoKwa hiyo hapo shida ipo upande gani?
Lugha isiyo rasmi ni kuwa ronaldo.ni zigoKwa hiyo hapo shida ipo upande gani?
Kumtambua kama ni zigo ni hatua ya awali.Lakini,kukumbatia zigo ni kujiweka na kujithaminsha sawa na zigo lenyewe.Lugha isiyo rasmi ni kuwa ronaldo.ni zigo
Anaongoza hadi sasa kwa kufunga magoli, unapata wapi ujasiri wa kusema miguu yake ilikufa miaka 7 iliyopita?Unaongelea pesa mm naongelea football
Miguu ya ronaldo ilikufa
Miaka saba iliyopita
Legacy doesn't pay bills mzeeKwa mtazamo wa pesa sawa ila legacy yake ameivuruga
Kwani Mayele anaenda Al Ahly?Akabane na kina mayele mwakani😁
Ali kataliwa Madrid, kakataliwa man u na sasa ana kataliwa na waarabuMadrid ndo ilimkataa cr7
Au ndio maana aliposti kanuna balaa😅😅Mkataba wa cr7 unaisha june bado wiki moja na wazee wa ngamia wamekula buyu
How wakati kila msimu amemaliza top kwenye ufungaji na tuzo amezipokea?Kwa mtazamo wa pesa sawa ila legacy yake ameivuruga
Lugha isiyo rasmi ni kuwa ronaldo.ni zigoKwa hiyo hapo shida ipo upande gani?
Matuta mzee wangu😁Anaongoza hadi sasa kwa kufunga magoli, unapata wapi ujasiri wa kusema miguu yake ilikufa miaka 7 iliyopita?
View attachment 3348405
Aliangalia mkwanja mkuu, sioni shida yoyote kustaafu kwa sasa ila asifanye kosa la kuanza kulalamika maana litamfanya aonekana Hana maanaHadi waarabu hawamtaki CR7 ?
Hili swali ndio linatrend uko duniani
How comes arabs kick out CR7
Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati
Mtumbuizaji mahiri anajua wakati sahihi wa kuachia jukwaa CR7 hakujua wakati sahihi
Ronaldo hakutakiwa kwenda juventus au kurudi manchester united au kwenda uarabuni alitakiwa astaafu akiwa madrid
Wanasema km hadi waarabu wamemkataa ataenda wapi tena😁😁
Yeye analalamika anasema waarabu wamekuwa wasaliti kwake😁😁
Tujifunze kuheshimu wakati wakubwa
Muda ni rafiki katili sana😡
Matuta?Hayo huingia kimiani kwa kutoka nyuma ya nyavu?Lugha isiyo rasmi ni kuwa ronaldo.ni zigo
Matuta mzee wangu😁
Magoli mengi ya kutenga/penaltSasa kama ishu ni yeye kuchoka mbona msimu wa pili huu anachukua golden boot?
Mbona hao vijana wameshindwa kutumia nguvu zao kufunga mabao mengi kumzidi?
Hata matuta na majaruba yanahitaji ujuzi.Lugha isiyo rasmi ni kuwa ronaldo.ni zigo
Matuta mzee wangu😁
mbona modric kakomaa hapo madrid ...lakini kanyimwa mkataba?Ndio ulikuwa muda sahihi wa kustaafu
Ona babu zidane anavyoheshimika alishuka jukwaani wakati watu wanamlilia
Nimesema kukabana al ahly ipi egypt na mayele yupo egyptKwani Mayele anaenda Al Ahly?