Christiano ronaldo amechokwa huko uarabuni anaelekea kunyimwa mkataba

Kazi na umri, cr7 kachoka lakini si rahisi cr7 kustaafu bila kufikisha goli buku.. jamaa ana njaa ya mafanikio na records.. yuko radhi hata aje kucheza al ahly huko, wakimgomea hata simba na yanga mradi atimize goli zake buku na chenji, na naimani anaitaka michuano ya WORLD cup ijayo.
 
Aliangalia mkwanja mkuu, sioni shida yoyote kustaafu kwa sasa ila asifanye kosa la kuanza kulalamika maana litamfanya aonekana Hana maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…