Christiano ronaldo amechokwa huko uarabuni anaelekea kunyimwa mkataba

Wabongo wengi ni wachawi na mwanaume mwenye tabia za wivu ni upinde asilimia mia
 
Ni kweli cr7 anaitolea macho world cup ya mwakani subiri tuone atakimbilia wapi akibaniwa mkataba

Nahisi
Katari
Japan
Austarlia

Ila africa hawezi kuja
 
Ronaldo ana offer ya Al nassr anakocheza iko mezani yeye ndio hajaamua kusaini hadi sasa, iko ya kutoka wydad casablanca kwa mkopo wa muda mfupi ili acheze kombe la dunia, iko ya kutoka botafogo ya Brazil na offer nyingine ni kutoka timu yake ya kwanza sporting Cp ya ureno Vitu kama huvijui utulie tuu watu wasijue kama wewe ni mpumbavu,
We fatilia michezo yenu wanawake huko hii ya wanaume tuachie
 
Sasa faza unadhani mm sjui matusi😁

Mkataba wa cr7 unaisha june leo ni tarehe 28 may

Je mchezaji wa muhimu kwenye timu anaweza kufanyiwa hivyo?
 
Exactly
 
Huyu hata Simba yupo tayari kuja ili mradi atimize ndoto yake ya kufikisha magoli 1000😄
 
Magoli mengi ya kutenga/penalt
Kwa msimu huu wa 24/25

Ronaldo kafunga magoli 25 katika mechi 30

Anayemfuata kwa karibu ni Ivan Toney kutoka Al-Ahly, aliyefunga magoli 23,

Na Karim Benzema wa Al-Ittihad, mwenye magoli 21

Katika hao watatu Ronaldo alipata penati 9, katika hizo 9 amefunga penati 7 na kukosa 2

Anayemfuatia ni Benzema akiwa na jumla ya penati 8 huku akifunga 5 na kukosa 3

Huyo Ivan amepata jumla ya penati 7 na kwenye hizo 7 kafunga 6 na kukosa 1

Kwa hiyo tukisema tutoe magoli yote ya penati kwa wachezaji wote waliyoyapata ili tupime kama kuna mchezaji amepata Golden boot kutokana na wingi wa magoli ya penati. Basi hivi ndio itavyokuwa

Cristiano Ronaldo18
Ivan Toney17
Karim Benzema16

Mwisho wa siku conclusion tutayofikia ni kuiona chuki tu ndio inayokuendesha.
 
Wamempa mkataba mpya salary ndio wamepunguza,wanataka kumlipa nusu ya kile alicho kuwa akilipwa.
 
Sasa faza unadhani mm sjui matusi😁

Mkataba wa cr7 unaisha june leo ni tarehe 28 may

Je mchezaji wa muhimu kwenye timu anaweza kufanyiwa hivyo?
Al nassr walimpa mkataba tangu mwaka jana mwezi wa 12 akawapa starti ili asaini lazima wasajili vizuri wakamleta jhon dulan kutoka aston vila lakini bado haija mshawishi ni yeye mwenyewe hajaamua kusaini sio kwamba timu haijampa mkataba, ndio maana nimekuambia kiti usichojua ufiche upumbavu wako sio lazima kila mtu ajue, unamchukia mtu ambae chuki yako kwake haina madhara yoyote na hata hajui kama kuna kenge moja huko porini inamchukia
 
Hamna kitu Hilo zee listaafu limeshaishiwa likalee wajukuu
 
Itakuwa Waarabu walimshinikiza asilimu ila yeye akakataa. Wale ukiwagome mambo yao ya dini watakufanyia hiyana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…