Christiano ronaldo amechokwa huko uarabuni anaelekea kunyimwa mkataba

Kawadanganye wadada wenzio😁

Hivi mchezaji muhimu atabaki wiki moja kabla mkataba kuisha na bado hajapewa new contract?
 
Mbona nimesoma sehemu anahamia al hilal ya hukohuko saudi.
Al Hilal wanatumia nafasi yao ya kushiriki club world cup kusajili kumsajili cr Ronaldo.
Subiri tuone

Lkn sasa uyu kikongwe ataisaidia nn timu
 
Ukisema waarabu unachanganya watu, sema wasaudia
 
Ronaldo naye aache tamaa na wakati ukuta umri umeshamtupa mkono aachie wengine wacheze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…