Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
19 years ni mtoto huyo..??GTs,
Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho.
Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk umri mdogo.
Historia ya Christina inawakilisha kundi kubwa sana la wanawake ambao wazazi wao walikataa kuwasomesha na kuwalazimisha waolewe kisa tu wazazi wao waliamini kumsomesha mtoto wa kike ni kupoteza hela kwa sababu anaweza kushika mimba akiwa shule.
Christina ni shujaa kwa sababu kaamua kulisemea kundi kubwa la wanawake wenye maumivu ya kukatiliwa ndoto zao na wazazi kwa kulazimishwa kuolewa.
Tuungane kuukemea utaratibu wa kumuoza mtoto wa kike badala yake watoto wa kike wawe na haki sawa ya kusoma.
Tumpongeze Christina kwa kujitokeza kuwatia moyo wanawake wote ambao ndoto zao za maisha zilikatishwa na ndoa za lazima.
Pia tukumbuke, mbinguni hatuendi kwa sababu tunandoa au hatuna ndoa bali ni roho safi inayoamini ktk Yesu Kristo, inayoamini na kumtegemea Mungu. Tuache dhihaka zidi ya Christina, tumtie moyo ili sauti zizidi kupazwa kuzuia ndoa zinazokatiza ndoto za wasichana kisa ndoa iliyolazimishwa na wazazi.
Pia soma: Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga
Hapa ndio kwenye mkanganyikoYaan azae watoto watatu afu atoke kwa ndoa huo ni uchafuu.Anasingizia ametoka kumtafuta Mungu mh,na nimchungaji.ndoa ya kanisani na ameanzisha kanisa unataka kuwaelekeza nini waumini wako.UCHAFU TU
Duh kawa mchungaji
Huyo mwanamke ni Mala..ya wahedi!!na nyote munao mtetea muko na element za umala.. ya vilevile.
Yaaani Mzee wawatu alimuoa bint hajui hata kiswahili vizuri,Na wameishi miaka mingi mpaka amekuwa mwerevu na English anaongea
Kwanini na yeye asimuache yule mzee akaishi maisha yake mpaka amdharirishe vileMuacheni Christina aishi maisha yake
Shujaa kapigana vita gani?GTs,
Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho.
Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk umri mdogo.
Historia ya Christina inawakilisha kundi kubwa sana la wanawake ambao wazazi wao walikataa kuwasomesha na kuwalazimisha waolewe kisa tu wazazi wao waliamini kumsomesha mtoto wa kike ni kupoteza hela kwa sababu anaweza kushika mimba akiwa shule.
Christina ni shujaa kwa sababu kaamua kulisemea kundi kubwa la wanawake wenye maumivu ya kukatiliwa ndoto zao na wazazi kwa kulazimishwa kuolewa.
Tuungane kuukemea utaratibu wa kumuoza mtoto wa kike badala yake watoto wa kike wawe na haki sawa ya kusoma.
Tumpongeze Christina kwa kujitokeza kuwatia moyo wanawake wote ambao ndoto zao za maisha zilikatishwa na ndoa za lazima.
Pia tukumbuke, mbinguni hatuendi kwa sababu tunandoa au hatuna ndoa bali ni roho safi inayoamini ktk Yesu Kristo, inayoamini na kumtegemea Mungu. Tuache dhihaka zidi ya Christina, tumtie moyo ili sauti zizidi kupazwa kuzuia ndoa zinazokatiza ndoto za wasichana kisa ndoa iliyolazimishwa na wazazi.
Pia soma: Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga
🤣🤣🤣🙌Shujaa kapigana vita gani?
Adui yake alikuwa nani?
Vita ilianza lini?
Nani alianzisha vita?
Nani alikuwa shahidi wa hiyo vita?
Nani alithibitisha Christina ndiye mshindi wa hiyo vita?
Nani anapaswa kuwa mtoaji wa hizo pongezi?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Upo Mlibwende?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Nani amekudanganya?Mwanamke akiongea siku zote 100% ni ukweli. Christina hawezi kujisingizia
lkn hatupendi ml...ya.Watanzania tunampenda sana Christina.
Kuolewaje bila Ridhaa?Nadhani wewe ndiye kichwani mwako utakuwa na upungufu mkubwa sana wa uelewa. Kuolewa bila ridhaa siyo kitu kizuri kabisa.