Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Shujaa baada ya kuishi miaka mingi vileš³
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo linamtosha ndo sifa ya mwanamke ama mwanaume asiye tosheka na mke ama mme wakeama hata mchumbaTafuta tusi lingine. Malaya halina uzito tena
narudia tena, umeyasikia malalamiko ya upande wa pili?Kwa sababu ninyi wote mnatetea uovu. Ni sawa na mnavyodharau wanawake kisa uanawake wao. Tuache dharau
Nipo nduguUpo Mlibwende?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Missing you too much darling, it's fine to hear that you're so fine.Nipo ndugu
[emoji28]
Hana hekima hata kidogo, angenyamaza maisha yakaendelea tu.Muache Christina atumie vyombo vya habari ili kuelimisha umma wa jamii zilizokatili maisha ya watoto wakike
Mbona umekomalia sana hii issue, wanandoa kutengana si jambo jipya wala baya. Ila ukiwa na hekima unatakiwa kunyamaza na kuendelea na maisha yako, inaonekana ni mwanamke mkora na mjanja mjanja sana.Alilazimishwa kuoelewa!
Wewe bado ni mtoto mdogo sana na huwajui baadhi ya wanawake walivyo changamoto. Mwanamke anaweza kumsingizi mme wake wa ndoa na hata kumpeleka mbele ya vyombo vya sheria. We kula ukalale tu, kuna wanawake ni majanga ndani ya ndoa, sema wanaume wengi uamua kukaa kimya ili maisha yaendelee.Mwanamke akiongea siku zote 100% ni ukweli. Christina hawezi kujisingizia. Huyo mwanaume na yeye hana kosa kabisa kwa sababu wazazi wa binti ndiyo waliruhusu. Wenye kubeba makosa ni wazazi wa Christina
Hujasema na kuweka bayana kuwa alilazimishwa kuolewa,hata hiyo historia yake unayodai kuifahamu pia hujaiweka halafu unataka nimpongeze kwa lipi?GTs,
Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho.
Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk umri mdogo.
Historia ya Christina inawakilisha kundi kubwa sana la wanawake ambao wazazi wao walikataa kuwasomesha na kuwalazimisha waolewe kisa tu wazazi wao waliamini kumsomesha mtoto wa kike ni kupoteza hela kwa sababu anaweza kushika mimba akiwa shule.
Christina ni shujaa kwa sababu kaamua kulisemea kundi kubwa la wanawake wenye maumivu ya kukatiliwa ndoto zao na wazazi kwa kulazimishwa kuolewa.
Tuungane kuukemea utaratibu wa kumuoza mtoto wa kike badala yake watoto wa kike wawe na haki sawa ya kusoma.
Tumpongeze Christina kwa kujitokeza kuwatia moyo wanawake wote ambao ndoto zao za maisha zilikatishwa na ndoa za lazima.
Pia tukumbuke, mbinguni hatuendi kwa sababu tunandoa au hatuna ndoa bali ni roho safi inayoamini ktk Yesu Kristo, inayoamini na kumtegemea Mungu. Tuache dhihaka zidi ya Christina, tumtie moyo ili sauti zizidi kupazwa kuzuia ndoa zinazokatiza ndoto za wasichana kisa ndoa iliyolazimishwa na wazazi.
Pia soma: Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga
Mleta mada asaidiwe,ni mgonjwa.shusho alikuwa muuza nyanya na mbogamboga, hana mbele wala nyuma, na alikuwa 19 years old. yeye anaamini alikuwa mzuri sana. tuseme binti wa miaka 19 mwenye uwezo hata wa kufanay biashara ya umachinga hajitambui? hawezi kukataa kulazimishwa ndoa? au kwasababu aliona mzee shusho ni mfanyakazi wa serikali mwenye mafanikio na ametoka DSM, akaona ndio njia ya kutokea. kuna mtu ataamini kwamba alilazimishwa au umasikini ulimsukuma kuolewa? miaka 19 umelazimishwa? umejengwa polepole hadi umekuwa mwimbaji mkubwa mwenye mafanikio then ukashiba na kuondoka.
huyo ni shetani wa joyce kiria, sumu alizosambaza kiria na kundi lake, wote ni walewale, kiria naye alisema aliolewa kwasababu alikuwa hana hela ya kupanga chumba, alitokea uhousegirl, akaishi miaka 8 na mwanaume na hataki kumzaliwa, alipoona amefanikiwa akaamua kuondoka na kumdhalilisha hivihivi kama shusho anavyofanya. je? kiria alifika wapi na kileo? wanatafuta furaha na hawataipata.
Huna akiliMwanamke akiongea siku zote 100% ni ukweli.
Ndiyo maana DNA zinawaumbua sana Wanawake, maana mnapenda sana kusema uwongo!!Mwanamke akiongea siku zote 100% ni ukweli. Christina hawezi kujisingizia. Huyo mwanaume na yeye hana kosa kabisa kwa sababu wazazi wa binti ndiyo waliruhusu. Wenye kubeba makosa ni wazazi wa Christina
Inaonesha jinsi gani mwanamke Tanzania hajakombolewa, yaani mnaakili za kishenzi sana. Hivi ni wanawake wangapi waliopo kwenye ndoa za kulazimisha??? Tena nchi za kiislam wanauawa wasichana wakikataa kuolewa kwa lazima, leo hii mjinga ka wewe unatetea mwanamke agandamizwe tu kisa wmanamke.Acheni kutetea ujinga,yaani shusho anajiona bado mdogo kwamba yule kamzidi sana,ujinga sana
Alafu uolewe mtu akupambanie mpaka leo unakuwa maarufu ndo useme ulilazimishwa?ujinga mtupu na kutaka kuhalalisha umalaya
Anayelazimishwa ni mtoto chini ya miaka 18 sio mwanamke.Acha kutetea ujinga ata kama huna akili.Inaonesha jinsi gani mwanamke Tanzania hajakombolewa, yaani mnaakili za kishenzi sana. Hivi ni wanawake wangapi waliopo kwenye ndoa za kulazimisha??? Tena nchi za kiislam wanauawa wasichana wakikataa kuolewa kwa lazima, leo hii mjinga ka wewe unatetea mwanamke agandamizwe tu kisa wmanamke.