Christina ni Mwanamke Shujaa, apongezwe

Duh kawa mchungaji
πŸ˜„ ehe nabii
Tz kiboko

Ova
 
19 years ni mtoto huyo..??
 
Yaan azae watoto watatu afu atoke kwa ndoa huo ni uchafuu.Anasingizia ametoka kumtafuta Mungu mh,na nimchungaji.ndoa ya kanisani na ameanzisha kanisa unataka kuwaelekeza nini waumini wako.UCHAFU TU
Hapa ndio kwenye mkanganyiko
 
Huyo mwanamke ni Mala..ya wahedi!!na nyote munao mtetea muko na element za umala.. ya vilevile.
Yaaani Mzee wawatu alimuoa bint hajui hata kiswahili vizuri,Na wameishi miaka mingi mpaka amekuwa mwerevu na English anaongea πŸ˜‚..Naamini kabisa Mzee amejitoa Sana kwa Huyo mwimbaji ili ndoto zake zitimie,Lakini sasa amegeukia Dunia.Soon Christiana ataanza kula unga na kuwa Teja.
 
Huyo mwanamke ni Mala..ya wahedi!!na nyote munao mtetea muko na element za umala.. ya vilevile.
Yaaani Mzee wawatu alimuoa bint hajui hata kiswahili vizuri,Na wameishi miaka mingi mpaka amekuwa mwerevu na English anaongea
 
Mambo yake muachieni mwenyewe
 
Shujaa kapigana vita gani?

Adui yake alikuwa nani?

Vita ilianza lini?

Nani alianzisha vita?

Nani alikuwa shahidi wa hiyo vita?

Nani alithibitisha Christina ndiye mshindi wa hiyo vita?

Nani anapaswa kuwa mtoaji wa hizo pongezi?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ushujaa kujidhalilisha kwenye mitandao na watt wakubwa wanajifunza nn?
Mpuuzi sn huyu mwanamke
 
Watanzania tunampenda sana Christina.
 
Siku Mzee shusho akiamua kumwaga mboga Nina uhakika vijana wa kataa ndoa watajizolea wafuasi wengi sana itakua ni zaidi ya mafuliko ya lowasa

Tuendelee kumuombea Mzee shusho asiseme kitu Ili kuokoa ndoa tarajiwa
 
Nadhani wewe ndiye kichwani mwako utakuwa na upungufu mkubwa sana wa uelewa. Kuolewa bila ridhaa siyo kitu kizuri kabisa.
Kuolewaje bila Ridhaa?

Nadhani huku akiongozwa na Mungu wake mbele ya Altare Alikubali Kuolewa.

Aliulizwa kama anamkubali Mume katika Hali Zote na zijazo na akakiri kukubali Akiwa na Akili timamu na tabasamu tukuka.

Kwa Sasa baada ya shetani kumuingia ndo anasema hakuridhia.

Alete mashahidi wa kushuhudia Kuwa alilazimishwa.
Baba Yake na Mama Yake waje hadharani waseme walimlazimisha.

Usitetee kazi za shetani. Fungua Akili Yako kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…