Christina ni Mwanamke Shujaa, apongezwe

We Christina embu tulia, kula matunda ya matendo yako. usitulazimishe tufikiri vipi kama ambavyo sisi hatukulazimishi kufanya chochote ila maoni yetu ni haki yetu.


Umezingua sana we mama
 
It was under influence ya wazazi.
 
Juice iliyowekwa hamira ni pombe tayari. Mind imechange,hana hata ajutalo huyu mama.
 
Malaya wakiteteana bwana eti shujaa 🀣🀣🀣Nyie mtaharibu watoto wetu mm nimegmfutilia mbali nyimbo za huyo kicheche ..alicho niudhi zaidi ni kumuhusisha Mungu katika upuuzi wake.
 
Dunia ishamsomba huyo mama,ni kama tu kina kiria,flora na wengine ambao umaarufu uliwalevya wakawakandia vikali waume zao,leo hata hawavumi tena!mzee shusho ampuuze asimjibu huyu yezebel!
 
Naheshimu maamuzi yake. Halafu hayanihusu
 
Malaya wakiteteana bwana eti shujaa 🀣🀣🀣Nyie mtaharibu watoto wetu mm nimegmfutilia mbali nyimbo za huyo kicheche ..alicho niudhi zaidi ni kumuhusisha Mungu katika upuuzi wake.
Tafuta tusi lingine. Malaya halina uzito tena
 
Fear women...πŸ‘‹πŸΌ
 
Ila wanaume!! 🀣🀣🀣🀣
Dada Tina asante sana.
 
Thamani na heshima ya mwanaume inapungua sana kadri miaka inavyosonga
Hasa tangu SIR100 aingie madarakani
It's so stressful kwamba Tanzania nzima hakukua na mwanaume wa kukaa kitini mpaka mwanamke tena from zanzibar anatukoromea
Anyway nadhani nina makasiriko yangu binafsi 😊
 
Suala la msingi sio watu kutokubaliana na maamuzi yake. Anahaki ya kuamua juu ya maisha yake.

Jambo la msingi watu wanapinga upotoshaji anaoufanya. Ukikutana nae, muuliza je, hakujua kama anandoto za kupambania wakati anakubali kuolewa?.
 
Yaani nakojoa kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kojoaaaaa....kojoaaaaaa kumanina zako malaya mkubwa we!!!!!! Kama vile nakuona unavotukania huku umesisimka mwili hatareeee.... hatareeee.......🀸🀸🀸🀸🀸
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kojoaaaaa....kojoaaaaaa kumanina zako malaya mkubwa we!!!!!! Kama vile nakuona unavotukania huku umesisimka mwili hatareeee.... hatareeee.......🀸🀸🀸🀸🀸
LioneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbususu FC tu hapo.
 
Muache Christina atumie vyombo vya habari ili kuelimisha umma wa jamii zilizokatili maisha ya watoto wakike

Aelimishe umalaya kupitia dini? Ndoa iliyofungwa na Mungu hakuna wakuibatilisha au hujui Hilo? Aliolewa akiwa mkubwa tu 19yrs na alishaanza make mtaani ndio maana mamaake akampigia chapuo Mzee shusho
 
"Mwanamke mpumbavu...ataivunja nyumba yake yeye mwenyewe!"

Huyo Christina Shusho, ni moja ya wanawake wapumbavu! Niliowahi kuwashuhudia!

Anayanajisi madhabahu! Kwa kutoa Siri za ndani ya familia...ili ajipatie wafuasi kwenye dhehebu lake!?

Anashindwa japo kutumia hata kalio moja tu! Kufikiri!?.... Ya kwamba tumemjua kupitia huyu mzee Shusho!

Mf. Huwezi mtukana baba yako (mseng.e!) hata kama unatambua ni kweli anaingiliwa!

Laana itakupata tu!....

Na huyu laana ya mzee wa watu mzee Shusho ....ita m-haunt milele!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…