Christina ni Mwanamke Shujaa, apongezwe

Kwanza tunapoteza muda kujadili watu wazima walioishi,wakapeana mapenzi toka Mmoja akiwa Binti hadi mtu mzima,mwingine ni Mzee sasa.Nini kilichopo ndani Yao hakuna anayejua.Kila mtu ajikite kujadili ndoa yake huwezi jadili ndoa ya mwingine kwa sababu kilichofanya wagombane/kutengaba ni Siri Yao.Siku wadirudi kumalizia uzee tutajadili?
 
Muache Christina atumie vyombo vya habari ili kuelimisha umma wa jamii zilizokatili maisha ya watoto wakike
Hana hekima hata kidogo, angenyamaza maisha yakaendelea tu.
 
Alilazimishwa kuoelewa!
Mbona umekomalia sana hii issue, wanandoa kutengana si jambo jipya wala baya. Ila ukiwa na hekima unatakiwa kunyamaza na kuendelea na maisha yako, inaonekana ni mwanamke mkora na mjanja mjanja sana.
 
Mwanamke akiongea siku zote 100% ni ukweli. Christina hawezi kujisingizia. Huyo mwanaume na yeye hana kosa kabisa kwa sababu wazazi wa binti ndiyo waliruhusu. Wenye kubeba makosa ni wazazi wa Christina
Wewe bado ni mtoto mdogo sana na huwajui baadhi ya wanawake walivyo changamoto. Mwanamke anaweza kumsingizi mme wake wa ndoa na hata kumpeleka mbele ya vyombo vya sheria. We kula ukalale tu, kuna wanawake ni majanga ndani ya ndoa, sema wanaume wengi uamua kukaa kimya ili maisha yaendelee.
 
Hujasema na kuweka bayana kuwa alilazimishwa kuolewa,hata hiyo historia yake unayodai kuifahamu pia hujaiweka halafu unataka nimpongeze kwa lipi?
 
Mleta mada asaidiwe,ni mgonjwa.
 
Ni UMALAYA uliomsukua shusho by mbarikiwa

nakazia.
 
Mwanamke akiongea siku zote 100% ni ukweli. Christina hawezi kujisingizia. Huyo mwanaume na yeye hana kosa kabisa kwa sababu wazazi wa binti ndiyo waliruhusu. Wenye kubeba makosa ni wazazi wa Christina
Ndiyo maana DNA zinawaumbua sana Wanawake, maana mnapenda sana kusema uwongo!!
 
Sasa kosa la wazazi wake kukataa kumsomesha ni kosa la mzee shusho? Pili kuna muda wa kufanya maamuzi ukiukosea huo utaonekana umewehuka na jamii itakudharau, hayo maamuzi alitakiwa ayafanye huko nyuma sana, sio wakati huu, ataonekana malaya tu na tamaa za ngono sio vingine.

Tatu njia anayotumia ya uharakati wa kusema anatetea kundi kubwa la waliopatwa na shida kama yeye sio njia sahihi, ni uzalilishaji, pia sio lugha sahihi za mtu aliyewahi kuishi kwenye ndoa.

Mwisho hii ni janja janja tu ya tamaa za ngono na pengine anadhani kwa kujifanya mwanaharakati kwa hilo atapata teuzi au kasha ahidiwa teuzi mwakani na kibopa so hii ni njia tu ya kutimiza matakwa yake ya zinaa na tamaa. Kiufupi anadhalikisha sana wanawake wenzie, maamuzi alichelewa kufanya, angekaa aboreshe ndoa yake tu, hizo lawama awape wazazi wake na kama akiweza awalaani.
 
Acheni kutetea ujinga,yaani shusho anajiona bado mdogo kwamba yule kamzidi sana,ujinga sana
Alafu uolewe mtu akupambanie mpaka leo unakuwa maarufu ndo useme ulilazimishwa?ujinga mtupu na kutaka kuhalalisha umalaya
 
Acheni kutetea ujinga,yaani shusho anajiona bado mdogo kwamba yule kamzidi sana,ujinga sana
Alafu uolewe mtu akupambanie mpaka leo unakuwa maarufu ndo useme ulilazimishwa?ujinga mtupu na kutaka kuhalalisha umalaya
Inaonesha jinsi gani mwanamke Tanzania hajakombolewa, yaani mnaakili za kishenzi sana. Hivi ni wanawake wangapi waliopo kwenye ndoa za kulazimisha??? Tena nchi za kiislam wanauawa wasichana wakikataa kuolewa kwa lazima, leo hii mjinga ka wewe unatetea mwanamke agandamizwe tu kisa wmanamke.
 
Anayelazimishwa ni mtoto chini ya miaka 18 sio mwanamke.Acha kutetea ujinga ata kama huna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…