Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Una point nzuri na UJUMBE mnzuri sanaMke ndio adui namba moja duniani, ukishindwa kufanya chochote mlaumu mke, ukishindwa kijishughulisha mlaumu mke, ukijikwaa mlaumu mke......
Mwisho kataa ndoa.
Una point nzuri na UJUMBE mnzuri sana
Maneno machache lakini ya ujazo haswa ukisema ufafanue Kila neno Moja katika commen Yako unaweza ukandika kitabu kinzima ni UJUMBE wenye elimu kubwa uliojitosheleza
Ila mwisho umeharibu
Naamini kuna mahala umekosea. Sidhani mkeo akutamkie hilo neno hivi hivi tu lazima kuna mahala umejichanganya.You never know with women- mioyo yao ni vichaka vizito sana na washaplan mambo yao zamani sana , wanasubiria tu muda muafaka ufike.
Kama Mimi leo nimeshambiwa
"Unapenda chokochoko sana"
"Kuna siku utabaki na hizi chokochoko zako"..........
Sasa kwa kauli hizi miaka 7 ijayo nitakuwa na changu tena hapa au ndiyo mtu ashatengeneza road map yake?
Muongo muongo na siyo mwaminifu, kwahiyo huwa namuhoji hoji zaidi ndiyo akaropoka yake ya moyoni leo.Naamini kuna mahala umekosea. Sidhani mkeo akutamkie hilo neno hivi hivi tu lazima kuna mahala umejichanganya.
Apo kaa kimachale muda wowote kinanukaYou never know with women- mioyo yao ni vichaka vizito sana na washaplan mambo yao zamani sana , wanasubiria tu muda muafaka ufike.
Kama Mimi leo nimeshambiwa
"Unapenda chokochoko sana"
"Kuna siku utabaki na hizi chokochoko zako"..........
Sasa kwa kauli hizi miaka 7 ijayo nitakuwa na changu tena hapa au ndiyo mtu ashatengeneza road map yake?
Kweli Mkuu-nimesandishwaApo kaa kimachale muda wowote kinanuka
WeweMke ndio adui namba moja duniani, ukishindwa kufanya chochote mlaumu mke, ukishindwa kijishughulisha mlaumu mke, ukijikwaa mlaumu mke......
Mwisho kataa ndoa.
Membe kapiga sana hapo RIPAmeshazeeka ndio anakumbuka kudanga akwende huko malaya mmoja huyo shenzi zake, hata wanao msikiliza huyo muhuni kama kiongozi wao wa Imani nina wasiwasi wana matatizo ya akili
Duh! Pole rafiki.Muongo muongo na siyo mwaminifu, kwahiyo huwa namuhoji hoji zaidi ndiyo akaropoka yake ya moyoni leo.
Kwahiyo ni kama nimegutuliwa Sasa
Isome bible vizuri ukisoma sana inakuhamisha soon utakua shusho wa PiliWalokole Sometimes huwa tunajishusha wenyewe na hizi ndoa zetu za ki comedian...!
Miaka 19 Ndo utetezi kuvunja ndoa? Ataenda kumwambia Mungu wake kwamba amekimbia ndoa sbb aliingia akiwa na Miaka 19..?
Nimetokea kuwafananishaHapana.
Duh 🔥🔥Membe kapiga sana hapo RIP
Unatafuta Kiki naona usinizoee kunitag tag ovyo mbuzi weweNimetokea kuwafananisha
😂 Sikuzoei hata kidogoUnatafuta Kiki naona usinizoee kunitag tag ovyo mbuzi wewe