Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Una point nzuri na UJUMBE mnzuri sanaMke ndio adui namba moja duniani, ukishindwa kufanya chochote mlaumu mke, ukishindwa kijishughulisha mlaumu mke, ukijikwaa mlaumu mke......
Mwisho kataa ndoa.
Maneno machache lakini ya ujazo haswa ukisema ufafanue Kila neno Moja katika commen Yako unaweza ukandika kitabu kinzima ni UJUMBE wenye elimu kubwa uliojitosheleza
Ila mwisho umeharibu