Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

Mke ndio adui namba moja duniani, ukishindwa kufanya chochote mlaumu mke, ukishindwa kijishughulisha mlaumu mke, ukijikwaa mlaumu mke......

Mwisho kataa ndoa.
Una point nzuri na UJUMBE mnzuri sana
Maneno machache lakini ya ujazo haswa ukisema ufafanue Kila neno Moja katika commen Yako unaweza ukandika kitabu kinzima ni UJUMBE wenye elimu kubwa uliojitosheleza

Ila mwisho umeharibu
 
Sio kwamba nimeharibu ila tu nimeandika ambacho wewe binafsi hautaki kukisoma/ kukisikia.....
 
You never know with women- mioyo yao ni vichaka vizito sana na washaplan mambo yao zamani sana , wanasubiria tu muda muafaka ufike.

Kama Mimi leo nimeshambiwa
"Unapenda chokochoko sana"

"Kuna siku utabaki na hizi chokochoko zako"..........

Sasa kwa kauli hizi miaka 7 ijayo nitakuwa na changu tena hapa au ndiyo mtu ashatengeneza road map yake?
Naamini kuna mahala umekosea. Sidhani mkeo akutamkie hilo neno hivi hivi tu lazima kuna mahala umejichanganya.
 
You never know with women- mioyo yao ni vichaka vizito sana na washaplan mambo yao zamani sana , wanasubiria tu muda muafaka ufike.

Kama Mimi leo nimeshambiwa
"Unapenda chokochoko sana"

"Kuna siku utabaki na hizi chokochoko zako"..........

Sasa kwa kauli hizi miaka 7 ijayo nitakuwa na changu tena hapa au ndiyo mtu ashatengeneza road map yake?
Apo kaa kimachale muda wowote kinanuka
 
Ameshazeeka ndio anakumbuka kudanga akwende huko malaya mmoja huyo shenzi zake, hata wanao msikiliza huyo muhuni kama kiongozi wao wa Imani nina wasiwasi wana matatizo ya akili
Membe kapiga sana hapo RIP
 
Walokole Sometimes huwa tunajishusha wenyewe na hizi ndoa zetu za ki comedian...!

Miaka 19 Ndo utetezi kuvunja ndoa? Ataenda kumwambia Mungu wake kwamba amekimbia ndoa sbb aliingia akiwa na Miaka 19..?
Isome bible vizuri ukisoma sana inakuhamisha soon utakua shusho wa Pili
 
Kaolewa ana miaka 19 na analalama! Je angeolewa na miaka 6 kama mke wa warlord aliyejiita mtume angekuwaje..! Smh.
 
Back
Top Bottom