Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Injili ni biashara siku hizi! Yesu alipo watuma wale mitume wake kuhubiri neno.. aliwaambia msichukue kitu KWa mtu yeyote..... Pia kuna mahala alisema karama umepewa bure kwanini utoze watu pesa?

Simaanishi akatae pale atakopo pewa pesa... Isipokuwa atakacho pewa pale anapo hitajika kuhubiri KWa uimbaji wake ashukuru tu ndio maana ya injili maana sio biashara(kwamba usipo nipa kiasi hiki siji kuimba).... Lengo watu waokolewe.... Paulo alisisitiza watu wawe na Kazi za mikono... Pamoja na yeye kuwa muhubiri wa neno la Mungu na kufanya uinjilisti maeneo mengi na kuweka Historia... Lakini alikuwa anashona mazulia.... Na pia kabla ya Hapo alikuwa mwalimu wa sheria za kiyahudi......
 
Sawasawa
 
Hili la mtume Paulo kuwa mshona mazuria umetupiga aisee!
Matendo 20:33-35

33 Sikutamani fedha au dhahabu au nguo za mtu ye yote. 34 Ninyi wenyewe mnajua kwamba kwa mikono yangu nimefanya kazi nikapata mahitaji yangu na ya wenzangu. 35 Katika kila jambo nimewaonyesha kwamba kwa kufanya kazi kwa bidii mtaweza kuwa saidia walio dhaifu, mkikumbuka maneno aliyosema Bwana Yesu kwamba, โ€˜Kuna baraka kubwa zaidi katika kutoa kuliko kupokea.โ€โ€™
 
Hakika umeona nilichokiona tangu awali.

Lakini usiwe muoga maana shetani ukimuogopa ndo unampa funguo akushughulikie.

Yaache magugu yakue na ngano maana kila kinachoota kinajulikana hatima yake wakati wa mavuno. Lakini yeye mwenye Uweza Mkuu kuliko wote anasema, Njoo nikubadilishe bila gharama, kama ulikuwa gugu nakufanya kuwa ngano safi...
 
Tuendelee na mama.lishe maana hawa pisi kali wote wsshahesabiwa๐Ÿ˜€
 
Ni kweli, ila mtume paulo hakushona mazuria bali alipiga kazi ya kushona mahema
 
Hatuna uhakika kama Almas anafaidi, ila kwa Shusho uhakika wa kufaidi upo, si unajua kipele kikikunwa raha huwa ipo kwa mkunwaji na sio mkunaji ๐Ÿ˜œ
Dogo lazima atakua anafaidi sana si unajua mishangazi hainaga hiana na kwa mpalange, uwaga kutoa kwa huko ni easy tu, maana hakuna uzazi tena inatereza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ