Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Zab1:1
Heri mtu yule asiyekwenda Kwa shauri la wasio Haki,wala hakusimama katika njia za wakosaji,wala hakuketi vibarazani pa wenye mizaha.

Ufikirie tena urafiki wa Mondi na Shusho kama Kweli ni salama

Ukiendana na shauri la wasio haki lazima utasimama katika njia za wakosaji,,,mfano wewe ni mwanafunzi wa Yesu kristo, rafiki Yako anajua una mahusiano ,ila hayapo stable, na unajua huyo rafiki Yako ni mzinzi na ana mahusiano halali ila hatosheki,,,anakwambia joannah !Unajua kwa Nini Mimi Nina amani?unasoma sijui!anakwambia joannah Dunia hii hutopata amani kama utakuwa na mwenza mmoja tu, tafuta kama Mimi, ,,ukimwangalia kweli ,ana amani japo mwenza wake ni pasua kichwa, unaona aaha, na mi ngoja nifanye kama jamaa, unatafuta watatu........hapo unakuwa umefuata shauli la wasio haki na umesimama katika njia zao ili kupata amani......kwa habari ya mzaha ni wale ambao unawaambia zambi inauwa roho Yako iepuke! Yeye anacheka anakwambia ,ushaanza kuchanyikiwa kisa ukristo, tafuta Hera utaachana na huo ujinga,,,,hapa chapa rapa,,Sasa unajuaje kama diamond ana mzaha!! Kuwa karibu na wapotofu na kutenda kinyume na mabaya Yao ni kuhubiri injiri pia, mkijifungia watakatifu tu!wengine habari njema watapewa na Nani??joannah!waza jambo hili Tena utagundua hata wale waliokoka kiasi Cha kuona wengine hawafai wanatenda dhambi , usiwatenge wenye dhambi kamwe, inawezekana umekuja ili waongoke
 
Ok, mama mchungaji ajitahidi amfikishe Diamond kwenye nchi ya ahadi
 
Naomba huo mstari wa kwenye biblia unaozungumza maneno hayo ....natanguliza shukrani
 
Kwa sisi wanachama hai,wazee wa kula hizi mambo huyu muimbaji kwisha kazi yaani shakuwa anti tayari.
Inaonekana aliishi maisha ya kilokole pure hapo kabla,wenzake kina bahati wamemzindua .
Ukiwa ktk nafasi ya juu,ukamla mwanamke basi wanawake huona ni ufahari hivyo atatafuta namna jamii ijue na yeye alishakufaidi.
#lishangazi
 
Kuna mama mchungaji mmoja alikuwa anakwenda kukagua kanisa Lao lililopo jijini,kimasihara akanambia nisindikize dogo.
Akatangulia nikamkuta huko,niko safari ananitumia tuu mapicha yuko church mpaka nafika keshamaliza kanifuata stand na uber mpaka hotel dah.
Ndo mara ya kwanza kunywa ile pome sijui inaitwa robati wajuzi wanaijua dah hiyo kimiminika hatari nilimvuruga yule mama pastor eeeehh
Kiufupi mishangazi ipo ya kutosha ni wewe tuu ujue code zao utakufa ama utawachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…