Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Almas + Rajab + Christina = wa moja?
 
Hata Yesu alipiga story na makahaba, so sio ajabu hao wawili kuwa marafiki.
 
Anajidhalilisha tu kukaa karibu na wahuni

Pesa inamfanya akose mipaka

Mwanamke asiyekuwa na kiongozi ktk familia haya ndio matokea yake
Kaishatumiwa majini na kutekwa akili muda si mrefu ataanza kupelekewa moto kama bado!
"....kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
2 Wakorintho 6:14"
 
Angalia vizuri picha! Mondi akili yake hiko hapo chini ya kitovu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…