Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Angalia utaliwa tako
Me pia kuna lishangazi mme wake ni mtu wa kitengo hasindagi sn home ni mtu wa ziara sn.

Sasa juzi likaja home na kuanza kujirahisha, ukweli sikubutua bcoz ni first time kuja home lkn kadri siku ziavyosonga mbele naona shetani ananizidi nguvu..

Jishangazi ni la ukweli, lina tako, nyonyo hajnyenyesha sn, nywele za singasinga mpaka mgongoni, tall kama mm, ananukia kijanga sio paka shume[emoji12].

Nextime akija afe simba afe mmasai naruka nae liwalona liwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amefunguka da Christina...

"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"

"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"

Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.

#kuna uwezekano wa Mond kuokoka mwaka huu[emoji28]

View attachment 2763075
National Anthem ......

Undugu ni kufaana.
 
Duh!... Acha dhambi ya uongo kiongozi.
Haswaa.
Dada ni mwindaji makini, hapeleki mbweche yake kwa makabwela, anasaka watu wenye mkwanja mrefu, connection na high profile.

Kuna kipindi alikuwa anamsaka Magu kwa udi na uvumba, Bashite na genge lake wakiwa makuwadi, bahati mzee akalala ardhini mapema sana. Dada yetu alikuwa aliwe na kulamba uteuzi fasta fasta.
 
Huyu mama anatafuta connection za kupata utajiri Kwa nguvu.. bahati mbaya didy kakamatwa lasihivyo wangempididy
 
Back
Top Bottom