NakaziaBila video ni chai.
Ninge shangaaa ata ivyo miaka Karne na Karne sikuwai sikia kama kulikua na mchungaji wa kike lakn Leo hii wamejaa wanatupeleka mbio mbio tubadirike kila mtu abaki na Imani yake thabiti Mungu tusaidi tuwe na mawazo mapana ya kukusujudu wwMchungaji na mwimbaji nguli wa nyimbo za injili, Christina Shusho anadai aliachana na mume wake kwa makusudi ili aanzishe kanisa apige pesa peke yake kwa kuwa aliona akiungana na mume wake wakawa wanagawana maokoto ya sadaka, asingefiika mbali.
Mchungaji huyo amenukuliwa na mitandao ya kijamii akisema maneno hayo bila kumumunya maneno, kupepesa macho wala kutikisa masikio, kama alivyonukuliwa ifuatavyo:
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
Siku hizi kila mtu anataka apige pesa kivyake mkuu. Ndio maana Shusho kachungulia mechi akaona kama akiendelea kuishi na yule mzee atamchelewesha sana kwenye maokoto..Ninge shangaaa ata ivyo miaka Karne na Karne sikuwai sikia kama kulikua na mchungaji wa kike lakn Leo hii wamejaa wanatupeleka mbio mbio tubadirike kila mtu abaki na Imani yake thabiti Mungu tusaidi tuwe na mawazo mapana ya kukusujudu ww
Kaema kweli mkuu. Fuatlilia mitandao ya kijamii......kila mtu anamshangaa. Alishaasi ndoa tangu kitambo. Leo ameona bora afunguke kabisa kama mbwai iwe mbwai.haha! acheni kumlisha hayo maneno labda awe amepanda maruhani kusema hivyo!
Umemaliza kila kitu mkuu. Subiri wenyewe wajeYesu alipokubali tu kuoshwa miguu, kufutwa kwa nywele na kupakwa mafuta na yule kahaba ndipo alipokaribisha Malaya kama hawa kanisani. Nadiriki kusema Ukristo una viongozi na watumish wezi sana, wazinzi saba, walafi sana sana na wapotoshaji sana.