proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
bora atafute maokoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema uongo?Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.
"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.
Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"
Tufanye alipost akiwa amelewa me nitamvumlia kufanya Kosa sio kosa Kosa kurudia KosaKauli kama hizi siyo za kufumbia macho, hawa wanakuwa wanatumwa na hidden society kuharibu taasisi na jamii, hivyo ni wa kumkemea kwa njia zote.
Hapo unaongelea angle ipi sasa?.Amesema uongo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kauli kama hizi siyo za kufumbia macho, hawa wanakuwa wanatumwa na hidden society kuharibu taasisi na jamii, hivyo ni wa kumkemea kwa njia zote.
Hakuna wito wa kuvunja Ndoa pia hakuna Mungu atakayekupa ndoto za kuvunja ndoa yako ili ukamtumikie huyo ni sheitwan bin ibirisi.