LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
tulia we kenge acha kumteteaUmeshamkuta akihisiana na wanaume wangapi na wapi hadi umwite malaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tulia we kenge acha kumteteaUmeshamkuta akihisiana na wanaume wangapi na wapi hadi umwite malaya?
injili ya namna gani hiyo? Acha upotoshajiKuna ubaya gani
Si katika namna ya kuifikisha injili kwa wale ambao hawaendagi kanisani.!
Mwanamke anaweza vumilia umasikini WA baba yake na sio wa mume wake,Asirudi kuanza kulialia..!!
Unapoolewa au unapoowa, kuna mambo utayaacha. Sasa yeye alitaka aendelee na mambo yake kama bachela..!!?? Atoe ujinga wake..!!!
Katika vitu vinayowashinda wanawake, baadhi ni hivi;
1. Umaarufu
Wengi wa wanawake maarufu ndoa zao zina shida sana. Huwa wakishakuwa maarufu wanaona ndoa ni utumwa. Anataka awe popote muda wowote. Hii inakwenda hadi namna anavyowalea watoto wake.
2. Fedha
Mwanaume, anaweza akaishi na mwanamke asiye na kitu kwa maisha yao yote, lakini kwa wanawake walio wengi mwenye hela kuishi na mwanaume asiye na kitu, ikizidi sana wiki..!!
3. Cheo
Kuwa na cheo nako baadhi ya wanawake wameshindwa kujizuia kuwanyanya waume zao kwa vyeo vyao.
Huyu umaarufu tu unamsumbua..!!
Nyie ndio mnaoua ndoto za wake zenu. Roho mbaya hiyo.Wife alitakaga kuanza kuimba kwaya!
Nikaweka karamu na karatasi tatu mezani nikamwambia nikikuona tena kwenye kwaya namwaga wino chap. Sijawahi msikia tena na habari za kuimba, naona alichagua ndoa akaacha kwaya. 😁
We mpuuzi nini? Si angesema kakimbia ndoa kujinusuru? Wapi alienda kushitaki kuwa ndoa yake inahatarisha maisha yake? Umekazana kutetea mpuuziKwa hukumu zenu kumbe ndio maana wanawake wengine hung’ang’ania kwenye ndoa hadi kuuliwa, kuumizwa, kudhalilishwa kwa sababu wanaogopa kują kudhalilishwa na kutikanwa na wana jamii.
Badilini namna zenu za mitazamo.
What if kuondoka kwake ndio pona yake na salama yake kwa mfano?
Mume wake ana shuguli gani
We mpuuzi nini? Si angesema kakimbia ndoa kujinusuru? Wapi alienda kushitaki kuwa ndoa yake inahatarisha maisha yake? Umekazana kutetea mpuuzi
Ndugu, Christina Shushu ndio hataki kusumbuliwa yeye anataka mambo ya kanisa na kuimba tu, inaonekana hataki mjedeje!Alichosema Ni sahihi. Je wewe unaweza kuishi na mke ambaye muda mwingi anashughulika na mambo ya kanisa? Kama huwezi yupo sahihi
huenda anataka kuwa mwanasiasa ndio maana amebadilika na kuvunja ndoa yaketoka amekuwa mwanachama kindaki ndaki wa ccm sijawah muelewa!
Wachungaji wengi kipato duni.uenda ni ishu za kiuchumi.You mea alokuwa mume wake au sio?!
Nasikia ni Mchungaji.
Nasikia zamani alikuwa akifanya kazi TRA badae akaamua kuacha ili amtumikie Mungu.
Sasa ukute uchungaji wenyewe sio ule wa kuwa na waumini wengi kiasi kwamba hata sadaka Pengine ni mashaka.
Sasa ukute mwanamke alishazoea mume alipokuwa TRA wanabadilisha mboga , sasa gafla kuwa Mchungaji labda hali ya uchumi imekata.
Na Pengine nje kuna mtunanamuimbisha labda Mungu anisamehe kama nakosea,
Nisimshudie uongo Mtumishi wa Mungu.
Halafu umri nasikia wamepishana sana.
Nasikia alokuwa mumewe mpoleee very gentleman.
Sasa hasira za nini?
Don’t personalize things wewe 😆😆
Relax.
Punic is for immatured persons.
Are (you) one of them? 🤷♂️🤷♂️😀
kumbe naye ana kashfa? Ulikula akiwa bado binti na umaarufu hana? Au unataka kumchafua tu?Beatrice Muhine nilikula kimasihara sanaaa.
Huyo hajapotoka huyo kajaaa jeuri Mungu anasema mke na mme ni mwili mmoja yy anasema hakuna kitu kama hicho si jeuri za uzima sasa ili asiharibu familia unafulitilia mbali upuuzi wake mpaka youtube una mblock hata unafiki wake ajisikilizishe mwenyewekama kawaida yetu mwimbaji akipotoka tunatupa nyimbo zake na kuzifuta kwenye simu zetu
hakuna kitu tapeli tu kama zumaridiMwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.