Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Mumewake saizi ni Diamond 🤣🤣
 
😂😂😂😂😂 Mwili mmja 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndomana wakristo tunadharauliwa sana sababu ya watu kama hawa! Yaani kamwacha mch. Ili awe mchungaji... Atambue kwamba hilo neno wawili watakuwa mwili mmoja halitabadilika kamwe!
 
Aliimba mwanaume ataacha wazazI wake na kumbatana na mkewe hao wawili watakua mwili mmoja
 
Unakuta mwanamke akipata mabwana wenye pesa na Bora zaidi YAKO hakuna rangi utaacha ona...

Vitabu vya dini vinasisitiza utii kwa MWANAMKE kwa MUMEWE
 
Sema alitaka kusema huyo mwanaume sio type yake akaona aibu!
 
Kwa hiyo unataka kusema kwamba Shusho katudanganya mkuu? Hajafungua kanisa bado?
 
Yote hayo mwanaume anayafanya sababu kuna vitu anavipata toka kwa mwanamke, kama kutimiziwa baadhi ya majukumu ya nyumbani, kulelewa watoto pamoja na kupewa heshima na utii, kabla hamjawajudge wanawake jiulizeni wakifanya hayo mnayofanya wanapata nini au mnawapa nini, hata wanaume wenyewe tu hawawezi kufanya hayo kama hawapati kitu in return sembuse wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…