Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho

Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Angel Bernard ana kismati ya kuolewa kaolewa huko USA BABY na mjeda mwaka sasa
 
Ch
Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho

Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Christina aliondoka siku nyingi sana kwa mumewe kabla ya haya mahojiano. Tangu membe rip akiwa waziri.
 
Umaarufu na pesa ni shetani mkubwa wa wanawake
Kisaikolojia wanataka waliowazidi Ili wawaongoze ila akikuzidi tuu tayari ni tatizo.

Hapo kwenye kumzidi wanataka Kila kitu,urefu,pesa,umaarufu,akili nk

Nimewahi chukua wanawake mara 3 nikawapeleka geto ,hao walikuwa wanajitegemea na mwingine Bado ila Sasa walivyofika kwangu walijilinganisha mageto Yao na langu wakaona mbona Bora wao,hawakuonekana tena 🤣🤣
 
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa 5newsTZ.
View attachment 2959387

"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili

MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Ushawishi wake kwa wanandoa unapotosha pakubwa najua kila lifanyikalo lina Shelia na katiba yake na tukiingia kisimani kuna vitabu vitakatifu je yeye hayo aliyafanya kwa mjibu wa maandiko au ni mihemko yake tu,je waumini atakawowaongoza nawe watamani waachiwe ili wakatimize ndoto zao
 
Waweza kuwa na point yenye akili lamekiAgustino, lakini namna ya uwasilishaji mkuu, ndiyo umekuja kivingine.

Kuweka vizuri mambo, embu ngoja nikuulize, kama ukristo ni dini ya wajinga kwa sababu ulizoziainisha, je ni dini gani ya wenye akili ambayo ni nzuri kuifuata ambayo haina longo longo kama hizo?
 
Waweza kuwa na point yenye akili, lakini namna ya uwasilishaji mkuu, ndiyo umekuja kivingine.

Kuweka vizuri mambo, embu ngoja nikuulize, kama ukristo ni dini ya wajinga kwa sababu ulizoziainisha, je ni dini gani ya wenye akili ambayo ni nzuri kuifuata ambayo haina longo longo kama hizo?
al Islam diina
 
Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
Anataka aitwaje Sasa?....
 
Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho

Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Watumishi Donatila Mademoiselle Rabbon semeni kitu...
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa 5newsTZ.
View attachment 2959387

"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili

MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
 
Kweli kabisa!
Ukishamjua YESU kila kitu unaona kawaida, kiu ya kutaka kumjua zaidi ni zaidi ya kiu ya maji...

Tunaweza ona Christina alifurahi kumuacha mumewe ila hakufurahi, ila Yesu akikuita utamfuata tu...

Sio rahisi haya mambo kama watu wanavyodhani...

Fikiria vile Maria alivyopata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu alafu alikuwa na mchumba wake Yusufu...

Yusufu alitaka kumuacha kwa Siri Mariamu ila akapata maelekezo kwa Mungu hakumuacha...

Mambo ya Rohoni zaidi
 
Hivi, akiwa kama mchungaji, ATAFUNGISHA NDOA?
hawezi kuwa mchungaji, mume wake alihangaika kumpeleka hata chuo cha uchungaji dodoma pale, akasoma miezi kadhaa akaacha. siku hizi huwezi kuwa mchungaji kama hauna cheti cha kisomo kuwa mchungaji. nadhani ndio maana hataki kuwa mchungaji. hata huduma yake kama wakifuatilia watajua ipo kimakosa,labda kama kanunua cheti au amesoma online au kisirisiri. wanaomjua wanajua wanalijua hili.
 
Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho

Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
acheni kusingizia kila kitu walokole, sio wote walokole.
rose.....muanglican
muhone....mlutheran (akama nimekosea nisahihisheni)
angel....mrutheran tena mwakasege ndio anaita babake kiroho
bukuku (mlokole wa zamani)
shusho (mlokole wa zamani)
mwaipaja(mlokole wa zamani)
 
Back
Top Bottom