Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumuNilichosema, tatizo ambalo unalikwepa kulikubali, pia wanaume wapo wanaozuia plan za wake zao[ambazo ni za manufaa kwa familia] kukua.
Mimi nina mtu, yeye ni civil servant, tatizo lake ni mtu asiyejihangaisha kabisa, anaishi on his salary tu. Mkewe ni visionary sana, anahofia hatma ya familia maana hawajajenga, na wana watoto wa4, watatu wanasoma hizi english mediums. Fedha haitoshelezi maisha ya familia. Mkewe akaanzisha biashara ya sabuni za maji na unga. Mmewe akawa anachukua hela za biashara, kurudisha ni mbinde. Wameua mtaji mara tatu. Sasa hivi mwanamke ameanzisha biashara kwa siri. Unawezaje mlaumu huyo mwanamke?
Hii mambo ya kujjficha kwenye kivuli za Imani kumbe mtu anataka uhuru wa kufanya mambo yake mbaya sana.Hapa kwenye Siri na Yesu ndio kunawafanya watu wasimuelewe Christina.
Anatembea na jini mahaba huyo ndio maana hapendi wanaume na limemuoa tyrWanawake nao wana uhuru wao.
Kiuhalisia wanawake hawapendi ndoa.
Kuna uchungaji wa kuitwa na wa kujiita. Ila wote wanaenda shule ya theologia kusoma.Kuna uchungaji wa kusoma na uchungaji wa kuitwa na Mungu mwenyewe.
mnamtetea mwenzenuIla wanaume mmepanic na Shusho!! Mbona nyie mnaachaga wanawake zenu na mnaenda kuendelea na maisha mengine lkn hatulalamiki!!! Hebu tulieni acheni kupangia wanawake maisha
Wenye element za umalaya lazima watetee upuuzi.mnamtetea mwenzenu
dogo aliyezunguka naye miezi 3 kenya,amemwacha mumewe huku bongo, alishatoa sana hizo allegations kwamba alikuwa anamtaka na alivyogoma anamroga. hatusemi kuwa ya kweli, hatujui, ila mtu kama ameachana na mumewe, akipewa allegationkuwa anataka vijana wadogo nani atashindwa kuamini, mtu mwenyewe kajaa kiburi, dharau na macho juu juu vile? kwamba kweli ameshindwa kufanikiwa kwa kuinuliwa na Mungu ameamua afanikiwe kwa kuinuliwa na kick za kuwa na diamond, anataka diamond ampe umaarufu badala ya Mungu ndio ampe umaarufu? kwani yule dadangu wa mbeya aliyeimba wimbo na hamonize ameishia wapi? hamonize ameshaokoka? au ndio vitimbwi vilizidi na Jina la BWana likazidi kutukanwa? watu wanatafuta kufanikiwa kwa njia ya kimwili badala ya kufuata njia za rohoni. Mungu awasaidie.umemuona alivyopendeza na kuvutia mwanaume anayejua mvuto wa mwanamke? Tukisema akina diamond ndio watakuwa wanampa tendo hilo hatutakosea. Dada mwenyewe yuko vile anavutia na yuko huru hana mume, nafasi iko wazi atapatikana wa kuijaza wa siri au wazi.
Kivipi?Nampongeza kwa uwazi wenye mashaka. Wanaume wakatoliki ndoa zao zinadorora na kisha kuvunjika kwq sababu ya WAWATA lakini wako kimya. Kanisa katoliki wamewapa WAWATA uhuru mkubwa dhidi ya kuwepo kwa ndoa zao na kuathiri ndoto za waume zao.
kama kawaida yetu mwimbaji akipotoka tunatupa nyimbo zake na kuzifuta kwenye simu zetuMalaya ni malaya tu.Wake zetu mbona wamejiendeleza kimasomo,kufungua biashara tena chini ya uangalizi wetu na wamefanikiwa.Sasa anakuja malaya mmoja anapingana na biblia harafu huyo huyo anaimba maswala ya Mungu ...Poleni mlio hata ni nyimbo za malaya kama huyo kwenye simu ama hata majumbani mwenu.
Angel benard nilisikitika sana aseeHuwa wanaanza kuimba wakiwa dedicated to God..ila muda unavyoenda wanapata umaarufu ndipo shetani anawaingia..shangazi yangu aliniambia waimba nyimbo za injili wanatafutwa sana na lucifer sababu ye ndio ilikuwa kazi yake akiwa malaika..huwa anahakikisha anawabomoa. Wengi wakitetereka kidogo wanaanguka. Hii kitu nilijua itafika kwa christina kama ilivyokuwa kwa wenzie.
vipi yale mapete, ni ya urembo tu?Huyo Christina Shusho amejiunga kwenye utajiri wa nguvu za giza/freemasons
Kipindi yupo na mume wake, mume aliumwa sanaa, watumishi wenzake wakamuombea ikagundulika Christina anataka kumtoa mume wake kafara
Akaulizwa akakana... mume akapona ndoa ikaendelea, alikua ni mwizi kwa mume wake
Ametembea sana na waumini wa kike kanisani kwa mume wake
Alipoona nguvu za Mungu kwa mume wake zinamuharibia mambo yake ndio akaanza kudai talaka
Ndoa imeisha kafungua kanisa
Kwa ambao washawahi kwenda kwenye kanisa la Christina watakua mashahidi! Kanisani kwake madhabahuni hamna msalaba kuashiria kristo kama kwenye makanisa mengine.
Waumini wanaingia ibadani na vipedo, tight na skin jeans, yeye mwenyewe Madam anafundisha neno huku kavaa gauni limemshape (anaitwa madam kwasababu kawapiga marufuku waumini wasimuite mchungaji)
Nimeishia hapo.
Soma aya ya kwanza!vipi yale mapete, ni ya urembo tu?
Ni MaPromax kama wengine.Nyimbo za Dini hakuwafanyi kukwepa hilo.Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Soma post #323...Nimetafuta comment ya mtu anayejua chanzo cha ndani kabisa cha yeye kukimbia ndoa sijaona.
Acha na mimi nikae kimya.....!🤐
Wale walikuwa na familia zao Bible haikutaka kudeal na Familia zao.Hamna mtu anayeweza muelewa Christina kwakuwa ukiitwa na Mungu Kuna vitu unatakiwa uache ..
Hata wanafunzi wa Yesu waliacha hata kazi wakamfuata Yesu...
Mambo ya Rohoni na mwilini ni tofauti kabisa...