Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Kisaikolojia wanataka waliowazidi Ili wawaongoze ila akikuzidi tuu tayari ni tatizo.

Hapo kwenye kumzidi wanataka Kila kitu,urefu,pesa,umaarufu,akili nk

Nimewahi chukua wanawake mara 3 nikawapeleka geto ,hao walikuwa wanajitegemea na mwingine Bado ila Sasa walivyofika kwangu walijilinganisha mageto Yao na langu wakaona mbona Bora wao,hawakuonekana tena 🤣🤣
Hii imeenda😂
 
Wengi hapa mahusiano yao yapo juu ya mawe😅😅😅

Ila kiukweli ukiwa mwanamke kama una ndoto/malengo yako ni mara chache sana kutimiza ukiwa kwa mume.
So Shusho is right atimize ndoto zake...maisha ndo haya haya
Ukiwa na mume mkashirikiana mbona unaishi ndoto zako tu. Tatizo ndoto zenyewe sasa unakuta mtu anataka uhuru wa kudanga 😂
 
nyimbo zake nzuri sana, na alikuwa na karama hiyo mno, ajabu shetani kwasababu hapendi aendelee kuhudumia mioyo ya watu, amemwingia na anataka kumteketeza kabisa kipawa chake alichopewa na Mungu pamoja na yeye. hatajua hili hadi yamkute, Mungu amsaidie aelewe. kiburi na jeuri iliyomjaa anahitaji kuombewa, wala sio yeye, amepagawa. wenye macho ya kiroho wanajua hili. hakuna aliyepandisha mabega baada ya kuinuliwa ambaye hajawahi kushushwa kwa aibu.
bado anayo nafasi ya kuomba toba, shetani kamteka na mwisho atamfedhehesha kama hataomba toba
 
Yuko sahihi km mtu haheshimu ndoto zako wa nini kuendelea naye?!! Seme Christina mjanja kaona kashapata pesa na umaarufu akiangalia mwanaume kachakaa yy bado anadai kina simba washamuonjesha michezo mipya ya mahaba awwww kwann asitoke ndruki 🤣🤣🤣🤣

Huyu baharia alijificha, ila kamlipa fadhila za kumuhifadhi… wakongo majeuri sana..!!
Njaa mbaya sana, kwahio aliolewa ili ajiondoe kwenye umasikini. Sahizi kapata umaarufu zaidi na vichenchi kaona amtupe mwamba. Wanawake wanafiki sana aisee!
 
Malaya ni malaya tu.Wake zetu mbona wamejiendeleza kimasomo,kufungua biashara tena chini ya uangalizi wetu na wamefanikiwa.Sasa anakuja malaya mmoja anapingana na biblia harafu huyo huyo anaimba maswala ya Mungu ...Poleni mlio hata ni nyimbo za malaya kama huyo kwenye simu ama hata majumbani mwenu.
Upo sahihi kabisa yani, kujiendeleza ama kufuatilia ndoto zako hakuna uhusiano na kutengana. Yeye ana sababu ingine ila sio hio aliyoitoa.
 
Kama anakuwa, kikwazo, kufikia ndoto, na kutumia (to the maximum) Karama alizokupa Mungu, huyo piga chini.
Ila, ki bongo bongo hawa Dada, zetu tunawajua, hakuna cha wito hapo, ngono inahusika, napata promota,kaona isiwe tabu, Hawa wadada wa, "kilokole" Born again, udhaifu wao ni pesa tu, akitokea mtu akapaki V8, Vogue, ana kula msambwanda for, Frola, mbasha, Martha mwaipaja, bahati bukuku, ni wale wale tu,
Uzuri ni mwanamke wa KIHA hao wakishajanjaruka na mji huwa wanapenda hela kinoma. Mostly huwa malaya tu sababu wanapenda kuhongwa.
 
Kikwazo kwa maendeleo kivipi? Kama kudanga ni maendeleo basi wengi tutakuwa vikwazo haswaa!
Hapana mzee sizungumzii malaya wadangaji. And lets not generalize.

Unaweza anza mahusiano na mwanamke ukakuta ana shughuli fulani na ana ndoto nayo ya kwenda nayo mbali. Sasa mwanaume ana muoa anakua abusive na anazuia plan zake kukua ambazo kimsingi ni za manufaa kwa familia yote. Dunia imeshuhudia mf historia ya Tina turner kwenye ndoa yake ya kwanza ilikua impoteze kwenye muziki. Wapo wanawake ambao waume zao wamewasupport wake zao na still ni respectful kwa ndoa zao, mf Yvonne Chaka chaka.
 
Back
Top Bottom