Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Kama Masanja ameweza kuwa Mchungaji hilo siyo tatizo hata kidogo.
Ila watu wanapaswa kuelimishwa hayo siyo Makanisa (Churches) bali ni huduma (Ministries).
Na mc pilipili na mkewe lakini huduma imebuma Sijui?! 😀🤦♀️