Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenikumbusha mbali sana miaka ya 2000 niliwahi kumlepeleka mwanamke geto kwangu akalala mbele kimya kimya.Kisaikolojia wanataka waliowazidi Ili wawaongoze ila akikuzidi tuu tayari ni tatizo.
Hapo kwenye kumzidi wanataka Kila kitu,urefu,pesa,umaarufu,akili nk
Nimewahi chukua wanawake mara 3 nikawapeleka geto ,hao walikuwa wanajitegemea na mwingine Bado ila Sasa walivyofika kwangu walijilinganisha mageto Yao na langu wakaona mbona Bora wao,hawakuonekana tena 🤣🤣
Kwa hiyo unataka kusema Christina alipomuacha mumewe na kufuata injili ni sahihi kabisa?Ukishamjua YESU kila kitu unaona kawaida, kiu ya kutaka kumjua zaidi ni zaidi ya kiu ya maji...
Tunaweza ona Christina alifurahi kumuacha mumewe ila hakufurahi, ila Yesu akikuita utamfuata tu...
Sio rahisi haya mambo kama watu wanavyodhani...
Fikiria vile Maria alivyopata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu alafu alikuwa na mchumba wake Yusufu...
Yusufu alitaka kumuacha kwa Siri Mariamu ila akapata maelekezo kwa Mungu hakumuacha...
Mambo ya Rohoni zaidi
Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
7) Flora mbasha
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
kwani huyo mume ndiye anazuia ndoto zake mkuu? Kivipi? Huyu mama ana jambo lake ila anatumia dini kama kisingizio.Wengi hapa mahusiano yao yapo juu ya mawe😅😅😅
Ila kiukweli ukiwa mwanamke kama una ndoto/malengo yako ni mara chache sana kutimiza ukiwa kwa mume.
So Shusho is right atimize ndoto zake...maisha ndo haya haya
Huwezi elewa. Yeye ndo anaelewakwani huyo mume ndiye anazuia ndoto zake mkuu? Kivipi? Huyu mama ana jambo lake ila anatumia dini kama kisingizio.
Kumbe wanaimba tu ila wenyewe hawayatendi!Aliimba mwanaume ataacha wazazI wake na kumbatana na mkewe hao wawili watakua mwili mmoja
Kwahiyo nawewe umetawaliwa na pepo la kataa ndoaHasira hazitobadili facts, ndoa ni upuuzi tu.
Kwahiyo hao wanawake hawastihili kutubebea Mimba?...Yote hayo mwanaume anayafanya sababu kuna vitu anavipata toka kwa mwanamke, kama kutimiziwa baadhi ya majukumu ya nyumbani, kulelewa watoto pamoja na kupewa heshima na utii, kabla hamjawajudge wanawake jiulizeni wakifanya hayo mnayofanya wanapata nini au mnawapa nini, hata wanaume wenyewe tu hawawezi kufanya hayo kama hawapati kitu in return sembuse wanawake
Kwahiyo alikuwa anatafuta kiki kwenye midia?Ya kwenu yanawashinda ya Shusho mtayaweza?
Mlivyo na hasira utadhani yanawahusu 😂😂😂😂
Umesahau yule aliyemuacha mmewe akamwambia aoe mwanamke mwingine yeye ana majukumu makubwa kitaifa akaja kuolewa na juma awesu mke wa pili. Na mme wake wa kwanza alikuwa sijui ni dcUtafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Hajatafuta kiki. Kaulizwa swali akajibuKwahiyo alikuwa anatafuta kiki kwenye midia?
Huwa wanaanza kuimba wakiwa dedicated to God..ila muda unavyoenda wanapata umaarufu ndipo shetani anawaingia..shangazi yangu aliniambia waimba nyimbo za injili wanatafutwa sana na lucifer sababu ye ndio ilikuwa kazi yake akiwa malaika..huwa anahakikisha anawabomoa. Wengi wakitetereka kidogo wanaanguka. Hii kitu nilijua itafika kwa christina kama ilivyokuwa kwa wenzie.Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Kuna mutu sikuhizi anaitwa madme FloraHuwa wanaanza kuimba wakiwa dedicated to God..ila muda unavyoenda wanapata umaarufu ndipo shetani anawaingia..shangazi yangu aliniambia waimba nyimbo za injili wanatafutwa sana na lucifer sababu ye ndio ilikuwa kazi yake akiwa malaika..huwa anahakikisha anawabomoa. Wengi wakitetereka kidogo wanaanguka. Hii kitu nilijua itafika kwa christina kama ilivyokuwa kwa wenzie.
Ndo ujue alijibu mbele ya watanzania ambao baadhi yao ni wakristo. So laxima wakristo tuhoji alichojibu mana sio sahihi kama ex-mama mchungajiHajatafuta kiki. Kaulizwa swali akajibu
Ni kwel,ingependeza kama angebak nayo kichwan mwake,Alichoongea ni kweli, ila hakutakiwa kusema hadharani, atajishushia hadhi kwa waja, km anajali hilo lakini.