Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho

Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Makahaba wanaojiuza madhabahuni hao hamna cha huduma ya uimbaji wala nini wanajiuza madhabahuni hao

Abiria chunga mfuko wako
 
Yesu alitambua wahuni kama hawa watatokea akaweka statement ambayo unataka ni hivyo hutaki ni hivyo nayo ni hii:-
👇
9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Mathayo 19:9

10 Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.
Mathayo 19:10

11 Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.
Mathayo 19:11

12 Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno

Mtume Paulo akamalizia kwa kusema maneno haya sasa
👇
20 Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru;
Warumi 1:20

21 kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
Warumi 1:21

22 Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
Warumi 1:22

23 wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.
Warumi 1:23

24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
Warumi 1:24

25 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
Warumi 1:25

Shusho keshapotea anatafuta wafuasi wa kupotea naye. Heri ya Mwaipaja ambaye alidai mmewe alikuwa mzinzi huyu Shusho ni tapeli kwa sasa
hili, na alipokee.
Mathayo 19:12
 
Naked truth! Wanaziheshimu ndoa kwasababu ni sehemu ya kusitirika lakini kiuhalisia wanapenda uhuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wengi hawafahamu hili nadhani kabla ya kuingia kwenye hizo ndoa wanapaswa wajue kwanza hili halafu wasiichukulie serious sana ndoa watajiepusha na mengi toka kwa wake zao
 
Malaya ni malaya tu.Wake zetu mbona wamejiendeleza kimasomo,kufungua biashara tena chini ya uangalizi wetu na wamefanikiwa.Sasa anakuja malaya mmoja anapingana na biblia harafu huyo huyo anaimba maswala ya Mungu ...Poleni mlio hata ni nyimbo za malaya kama huyo kwenye simu ama hata majumbani mwenu.
 
Hakuna undugu Kati ya mume na mke usijizime data.

Mke wako ndugu zake ni watoto mliozaa siyo wewe, Kwa akili hizi mtaendelea Sana kuteswa na wanawake maana hamuwajui.
Ni kweli kabisa mkuu. Nakuunga mkono na mguu. Mke wako ni RAFIKI yako sio NDUGU jamani. Ndugu zako ni watoto wako na ndugu zako wengine wa damu. Jamani mbona mnakuwa wagumu kuelewa? Shida ni nini kwani?
 
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"

View attachment 2959387

"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili

MAONI YANGU

Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana.

Mungu ambariki sana.
"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

Mwanzo 2:24

"Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja"

tuwe makini Sana na hawa watumishi na YESU KRISTO alitutahadhalisha juu ya watu kama hawa👇

Mathayo

24.4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.

24.5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.

Huyu mmama ana wafuasi wengi sana wanamfuatilia na kumtazama na anapingana na NENO la MUNGU hadharani kusema kwamba MUNGU aliesema mtakua mwili mmoja amepitwa na wakati sasahivii hakuna kua mwili mmoja 🙆🏻‍♂️😢

Anawapotosha sana hasa Watoto wa kike na wanawake wazidi kuidharau NDOA na kuishusha thamani
 
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"

View attachment 2959387

"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili

MAONI YANGU

Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana.

Mungu ambariki sana.
Kama anakuwa, kikwazo, kufikia ndoto, na kutumia (to the maximum) Karama alizokupa Mungu, huyo piga chini.
Ila, ki bongo bongo hawa Dada, zetu tunawajua, hakuna cha wito hapo, ngono inahusika, napata promota,kaona isiwe tabu, Hawa wadada wa, "kilokole" Born again, udhaifu wao ni pesa tu, akitokea mtu akapaki V8, Vogue, ana kula msambwanda for, Frola, mbasha, Martha mwaipaja, bahati bukuku, ni wale wale tu,
 
Alikuwa mwanafunzi tu kama wanafunzi wengine,

Hakuwa mmoja wa mitume Wala hakuwa Mchungaji.
Alivyotangaza habari za ufufuo wa Yesu...

Tena alikuwa na macho ya Rohoni...

Maana hata hao mitume wengine hawakuwa na macho ya Rohoni, ni Petro tu alimjua kuwa Yesu ni nani...

Mariam Magdalene mwanamke ambaye alikuwa wa kwanza kutanganza injili ya ufufuo wa Yesu...
 
Alivyotangaza habari za ufufuo wa Yesu...

Tena alikuwa na macho ya Rohoni...

Maana hata hao mitume wengine hahakuwa na macho ya Rohoni, ni Petro tu alimjua kuwa Yesu ni nani...

Mariam Magdalene mwanamke ambaye alikuwa wa kwanza kutanganza injili ya ufufuo wa Yesu...
Ni Kweli usemacho,

Mariam Magdalene hatuambiwi kokote kuwa alimwacha mumewe.

Na ni UKWELI kuwa, hakuwa mmoja wa mitume, Bali mashirika katika kristo katika kusaidia mambo mbalimbali.
 
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"

View attachment 2959387

"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili

MAONI YANGU

Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana.

Mungu ambariki sana.
niko tayari kukosolewa ila kama kuna umalaya uliofungwa kwenye Mti mkavu ni huu wa single mother! yaani wanakimbia ndoa halafu wanaleta visingizio vya kike!

anyway maisha acha kuwa shabiki wake toka alipotoka kwa mme wake na nlifuta na kuchoma Cd zake zote!

by the way hakuna mtumishi wa Mungu aliemqaacha mme wake akalitumikia kanisa!

biblia inasema tamaa ya mwanamke ipo kwa mme wake! amependa hajapenda anafanya umayala fc...
 
Ni Kweli usemacho,

Mariam Magdalene hatuambiwi kokote kuwa alimwacha mumewe.

Na ni UKWELI kuwa, hakuwa mmoja wa mitume, Bali mashirika katika kristo katika kusaidia mambo mbalimbali.
Tena alikuwa na dhambi biblia inasema, sembuse kuacha mume kitu kidogo hicho, hajamuacha kwa kuwa na mume mwingine...anafanya kazi ya Bwana...

Acheni kukariri, ndoa usipokuwa nayo makini unaweza usiuone ufalme wa Mungu...
 
Back
Top Bottom