Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Watu kama wewe mnaonekana mnapenda kuwapangia watu wengine namna ya kuishi Maisha yao, Kila mtu ana uhuru wa namna ya kuishi Maisha yake anavyotaka, kuitumia mungu au fantasy za hidden society ili wengine waonekane wabaya ni mambo ya kishenzi kabisa, ishi Maisha yako ya wengine waache wenyewe waamue wanataka kuishi vipiKauli kama hizi siyo za kufumbia macho, hawa wanakuwa wanatumwa na hidden society kuharibu taasisi na jamii, hivyo ni wa kumkemea kwa njia zote.
Hakuna wito wa kuvunja Ndoa pia hakuna Mungu atakayekupa ndoto za kuvunja ndoa yako ili ukamtumikie huyo ni sheitwan bin ibirisi.