Christina Shusho vs Rose Shaboka

Christina Shusho vs Rose Shaboka

Rose Shaboka anajua...kwanza sijawa sikia hata hayo mahubiri yake
 
sawa mkuu, asante sana, ubarikiwe pastor.
Wakati wayahudi wanamsulubu Yesu,walimvalisha taji la miiba wakambandikia kibao juu ya msalaba"huyu ni Yesu mfalme wa wqyahudi"wakidhani wanamdhihaki.....Amina kuu napokea neema uliyonitamkia na baraka zako
 
Back
Top Bottom