Christine Seven Mosha, She manages three of Tanzania’s biggest music acts: Alikiba, Lady Jay Dee and Baraka Da Prince

Nilikuwa sifahamu kuwa meneja wa kiba ni mwanamke kumbe ndo maana Kinukta kinapovukA kule insta.

Yule kidoti hajitambui....yaani jamaa hamtaki yeye bado analilia dushe lake. Mademu wa namna hii ni noma sana kuwadate....yaani haridhiki mpaka ateseke, shauri yake mwacheni amwage povu tu mpaka afikishe miaka 70.
 
We umeoa au kuolewa. Tujibu kwanza mana usipende kujua ya wenzako kabla hujatujulisha yako.
 
Yule kidoti hajitambui....yaani jamaa hamtaki yeye bado analilia dushe lake. Mademu wa namna hii ni noma sana kuwadate....yaani haridhiki mpaka ateseke, shauri yake mwacheni amwage povu tu mpaka afikishe miaka 70.
Ohoooooo!!!
 
Aolewe wapi...huoni alivyo benet na kiba..mpk analazimisha kuvaa sare sare na kiba....
She is after something hapo..km hiyo somthing hajaipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Jua lishazama huyu.she in her early 40s
 
Ile kazi,we huyo mke /girlfriend/mchumba uliyenae anafanya kazi na wanawake pekee,ukue,hivi hamjafungua shule asee????nenda tuition ukuze IQ asee
 
Aolewe wapi...huoni alivyo benet na kiba..mpk analazimisha kuvaa sare sare na kiba....
She is after something hapo..km hiyo somthing hajaipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Jua lishazama huyu.she in her early 40s

Jua ndio Linaanza Miaka ya 40.Wewe sema Huwezi kufikia Mafanikio yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…