edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
99 nipo darasa la pili hazeeki yani kama vampireUko sahihi mkuu hizi ni picha zake za kitambo 1999 akiwa na Irene kiwia
![]()
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
99 nipo darasa la pili hazeeki yani kama vampireUko sahihi mkuu hizi ni picha zake za kitambo 1999 akiwa na Irene kiwia
![]()
![]()
Nilikuwa sifahamu kuwa meneja wa kiba ni mwanamke kumbe ndo maana Kinukta kinapovukA kule insta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]99 nipo darasa la pili hazeeki yani kama vampire
Ohooooo!!!Ruge kapiga sana
Ohoooooo!!!Yule kidoti hajitambui....yaani jamaa hamtaki yeye bado analilia dushe lake. Mademu wa namna hii ni noma sana kuwadate....yaani haridhiki mpaka ateseke, shauri yake mwacheni amwage povu tu mpaka afikishe miaka 70.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Enzi hizo hapo ndio wameulamba.
Hapo bwana PROF NDUMILAKUWILI upo kijijini kwenu Kilwa kivinje huko ahaaa ahaaa
Ile kazi,we huyo mke /girlfriend/mchumba uliyenae anafanya kazi na wanawake pekee,ukue,hivi hamjafungua shule asee????nenda tuition ukuze IQ aseeWadau,
Naomba kuuliza juu ya huyu Meneja wa msanii Ali Kiba aitwaye Seven Mosha kuhusiana na marital status yake. Sijawahi kuona Meneja wa kike anayemsimamia mwanamuziki wa kiume.
Je, kama ameolewa au yupo na mchumba wake hiyo haileti kikwazo kwenye kumsimamia mwanamuziki wa kiume. Ieleweke kuwa Meneja wa msanii yeyote huambatana na msanii husika popote anapokwenda kikazi.
Je girlfriend/mchumba wa Ali Kiba atakuwa haoni wivu kweli.
Nauliza tu mwenye info zake
Kila la heriWachukue tu wote ila
Kidot waniachie
Bdo nahangaika
Kwa ajili yake
Aolewe wapi...huoni alivyo benet na kiba..mpk analazimisha kuvaa sare sare na kiba....
She is after something hapo..km hiyo somthing hajaipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Jua lishazama huyu.she in her early 40s
Kwa hiyo roho inakuuma unatamani ungepigwa weweRuge kapiga sana