Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

kisinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
241
Reaction score
295
Mambo vipi wadau,
Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na familia na wazazi wetu. Tupeane updates ya yanayojiri maeneo mbalimbali kama vile Moshi town, Kibosho, Uru, Marangu, Kilema, Machame, Sanya juu, Hai, Kirua vunjo, Old Moshi, Kahe, Upareni, Rombo na maeneo mengine. tusisahau mialiko kwani huu ndo msimu wenyewe wa sikukuu...

Kwa mjini kama kawaida wadau washaanza ingia na burudani ni kama kawaida.
 
Dah wachaga kwa ubinafsi na ukabila hamuwezekani.Hiyo sikukuu ni kwa wachaga tu,maana ndio walialikwa hapa

MKUU HAKUNA UKABILA HAPO NI THREAD TU YA KILIMANJARO....ILA UNAWEZA ANZISHA YA SEHEM NYINGINE HAINA UBAYA. NA THREAD NI YA KILIMANJARO HAKUNA MAHALI IMESEMA NI YA WACHAGA MKUU. AS LONG AS UKO KILIMANJARO THREAD INAKUHUSU
 
Magroup ya wasup yamemwafect huyu....anzisha group la Kilimanjaro kwenye whassap
 
Traffic jam zimeanza? Maana kipindi hiki mji unaonekana mdogo kutokana na wingi wa magari mpaka unatamani zile traffic lights zilizofungwa kule Chato zingehamishiwa Moshi!
 
Mk
Magroup ya wasup yamemwafect huyu....anzisha group la Kilimanjaro kwenye whassap

Mkuu kama sio lazima ku comment kila kitu. Unapoona halikuhusu bora kupiga kimya
 
Dah wachaga kwa ubinafsi na ukabila hamuwezekani.Hiyo sikukuu ni kwa wachaga tu,maana ndio walialikwa hapa
MWENYE UKABILA NI NWEWE

[HASHTAG]#justice4lema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#free[/HASHTAG] maxencemelo
[HASHTAG]#bringbackalivebensaanane[/HASHTAG]
 
Nime miss mbege .anaeenda aniletee mbege
Mimi nafanya kazi Moshi na leo kwenye bus kulikuwa na mjadala wa kwamba JPM amebana fedha mpaka Wachaga safari hii wamepungua kweli yaani watakaokuja Moshi hawatazidi robo ya mwaka jana
 
OLD MOSHI hapa nawakilisha. May Ruwa bless us all.
 
Mimi nafanya kazi Moshi na leo kwenye bus kulikuwa na mjadala wa kwamba JPM amebana fedha mpaka Wachaga safari hii wamepungua kweli yaani watakaokuja Moshi hawatazidi robo ya mwaka jana

Kwa hao wachache watakaokuja ni muhimu kupata updates.....hasa watakaokuwa migombani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…