Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

nawakilisha toka pande za sanya juu hapa
Mambo vipi wadau,
Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na familia na wazazi wetu. Tupeane updates ya yanayojiri maeneo mbalimbali kama vile Moshi town, Kibosho, Uru, Marangu, Kilema, Machame, Sanya juu, Hai, Kirua vunjo, Old Moshi, Kahe, Upareni, Rombo na maeneo mengine. tusisahau mialiko kwani huu ndo msimu wenyewe wa sikukuu...

Kwa mjini kama kawaida wadau washaanza ingia na burudani ni kama kawaida.
 
Mkuu naskia nyie ndo wapiga dili wenyewe mwaka huu mmedhibitiwa na Kufuli hakuna kula ndafu na Kitimoto ni mwendo wa sukuma wiki tu
sielewi hata kidogo hii chuki inatoka wapi? watu kwenda kwao imekatazwa? huo upiga dili unatoka wapi tena kuanzia lini?huu kwetu ni muda wa kukutana wanandugu tokea maeneo mbali mbali ya dunia kujitathimini na kisha kuweka mikakati mipya ya kimaisha
 
Jeep, V8,Land Rover Freelander, X3,5 na x6 zimeanza kuhamia huku mdogomdogo
 
Huwa mnaenda kutambikia i.e., kumuabudu shetani a.k.a kuabudu majini a.k.a mizimu ya mababu zenu.
Ok...I feel sorry for you. Ni kwa sababu kwenu hakufai kwenda au? Endelezeni kwenu mlikotoka ndio nanyie muwe proud kwenda huko mwisho wa mwaka. Otherwise ndio utakalia kutunga story za majini. Polee wee!
 
sielewi hata kidogo hii chuki inatoka wapi? watu kwenda kwao imekatazwa? huo upiga dili unatoka wapi tena kuanzia lini?huu kwetu ni muda wa kukutana wanandugu tokea maeneo mbali mbali ya dunia kujitathimini na kisha kuweka mikakati mipya ya kimaisha
Achana nao. Badala wajiendeleze na waendeleze makwao watakaa wakiwasimanga wachagga kwa wivu.
 
Ok...I feel sorry for you. Ni kwa sababu kwenu hakufai kwenda au? Endelezeni kwenu mlikotoka ndio nanyie muwe proud kwenda huko mwisho wa mwaka. Otherwise ndio utakalia kutunga story za majini. Polee wee!
Mnaabudu nashetani wa mizimu yenu
 
Huu ushamba wa kuwakumbuka Babu na Bibi kipindi cha Christmas tu tulishaacha

Kirua Vunjo na Rombo naenda any day, any time

Social medias, mobile phones, barabara nzuri zimerahisisha Accessibilities.

mfano mzuri ni MS to Rombo yote mpk Tarakea.

Sikuhizi wakufurahia hivyo kukutana K-mas ni watoto wa primary.

Pia nikienda ni Ibadani vizuri then kula na kunywa baas... habari ya kwenda makaburini kumwaga pombe haipo wala familia yetu haina.
 
Mambo vipi wadau,
Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na familia na wazazi wetu. Tupeane updates ya yanayojiri maeneo mbalimbali kama vile Moshi town, Kibosho, Uru, Marangu, Kilema, Machame, Sanya juu, Hai, Kirua vunjo, Old Moshi, Kahe, Upareni, Rombo na maeneo mengine. tusisahau mialiko kwani huu ndo msimu wenyewe wa sikukuu...

Kwa mjini kama kawaida wadau washaanza ingia na burudani ni kama kawaida.
bika kusahau viunga vyote vya Mkuu, Mashati, Mwika mpaka Rombo.
 
Back
Top Bottom