Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Mambo vipi wadau,
Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na familia na wazazi wetu. Tupeane updates ya yanayojiri maeneo mbalimbali kama vile Moshi town, Kibosho, Uru, Marangu, Kilema, Machame, Sanya juu, Hai, Kirua vunjo, Old Moshi, Kahe, Upareni, Rombo na maeneo mengine. tusisahau mialiko kwani huu ndo msimu wenyewe wa sikukuu...

Kwa mjini kama kawaida wadau washaanza ingia na burudani ni kama kawaida.
bika kusahau viunga vyote vya Mkuu, Mashati, Mwika mpaka Rombo.
 
Mwaka huu sijajua kapsaa kama krismas hii nitaikapia kibosho , uru ama kiboriloni.... by the way naandaa shavu ...
 
Mkuu naskia nyie ndo wapiga dili wenyewe mwaka huu mmedhibitiwa na Kufuli hakuna kula ndafu na Kitimoto ni mwendo wa sukuma wiki tu
Mbinu zinabadilika.
Huwezi kudhibiti wizi Tanzania.
Alichodhibiti ni kupunguza purchasing power ya watanzania wengi kitu ambacho kinaathiri moja kwa moja biashara ambazo wachagga wapo wengi.
 
Mkuu naskia nyie ndo wapiga dili wenyewe mwaka huu mmedhibitiwa na Kufuli hakuna kula ndafu na Kitimoto ni mwendo wa sukuma wiki tu
Hizo ni stori za kipumbavu zinazosambazwa na wapumbavu kwa malengo ya kupumbavu.
 
Aisee kumeshaanza kunoga? Ntakua huko ndani siku mbili hizi
 
Siyo kwa mwaka huu 2016 Hari yetu haiko poa sana.Hakuta bamba kama miaka yote jaman.
 
Back
Top Bottom