Vidume vya Pwani (Dar es salaam,Pwani,Tanga n.k) vina nguvu za kiume za ziada havitaki mchezo mbele ya papuchi na wakati huo huo kujenga miji yao pamoja na kutafuta fedha tofauti na huko migombani mnapopakimbia na kuzuru mwaka mara moja.Infact mnalitia aibu taifa, Wakenya wanawasaidia kuzalisha kwa kuendekeza kunywa matapu tapu mnayoita mbege.We utakuwa mswahili tu MTU wa pwani mnawaza kupigana miti tu! pole sana miss natafuta Mhogo.
Vidume vya Pwani (Dar es salaam,Pwani,Tanga n.k) vina nguvu za kiume za ziada havitaki mchezo mbele ya papuchi na wakati huo huo kujenga miji yao pamoja na kutafuta fedha tofauti na huko migombani mnapopakimbia na kuzuru mwaka mara moja.Infact mnalitia aibu taifa, Wakenya wanawasaidia kuzalisha kwa kuendekeza kunywa matapu tapu mnayoita mbege.
Huku hakuna u-primitive kabisa na hatutaki ujinga mbele ya heshima ya ndoa kwanza.
View attachment 448759View attachment 448757
View attachment 448757View attachment 448758
Pombe na nyama not my thing kabisaaaaaa!!!
So huo ukaribisho hata sitoufurahia, nikaribishe usukumani bwana tukale vyakula vyenye afya.
Samahani sana na ugali wako
Khaaaah!!! Huko nenda tu mwenyewe mama.
Ndio mnavyodanganyana huko kijijini kwenuUnaishi nyumba ya uridhi kigogo sambusa,Kwenye mko wanaume 8,nyumba ina vyumba vinne,unaishia kukaa kwenye kijichumba,dada zako wameolewa wameleta mabwana hapo,dada ako anakamuliwa unaskizia mguno kwa nje,fanya kazi acha kutukana kwenye jukwaa huru hili
Mimi siku zooote nilijua jamaa ni Mjaluo.
Kha!, mnanitosa Xmas mzima sababu tu ya ugali?! [emoji22] [emoji123]
Huko we nenda tu mwenyewe mama, ila uwahi kurudi kabla ya mwaka mpya.Unakaribia kotekote, unafaidi vyote. Ila usukumani zaidi.🙂
Tatizo sio ugali bwana, tatizo hivyo viambatanisho.
Nenda ukale ukirudi twende tukakandanize.
Huko we nenda tu mwenyewe mama, ila uwahi kurudi kabla ya mwaka mpya.
Yaani kwa kuniachia msala tu haujambo, nitakavyowakimbia msije tu kunianzishia thread.Sawa bhana, mpaka mpya wapi? au tuchague popote, bill si inakuja kwako?!
Naona una chuki na wivu wa kipumbavu na wakilimanjaro si uende kwenu ikunguipina na wewe acha upumbavuWabaguzi, wezi
Njoo kombo hapa mkuu tuonaneAisee meku...ukiweza tukutane umbwe kule juu kabisa kule onana...
Lugha ya kejeli sio nzuri. Tunaenda kwetu kukutana na ndugu na marafiki.Muda wakwenda kuhesabiwa umefika
Yaani kwa kuniachia msala tu haujambo, nitakavyowakimbia msije tu kunianzishia thread.
Nipo kwa Clara sasa hivi..ila ndo najiandaa kusepa
Hahaha kumbe tunasali wote Ngaruma.Ibada ya usiku ya Xmas naenda hapo Usharika wa Ngaruma na misa ya Kichagga ya Saa moja lazima niudhurie pia..
Inaleta raha pale mnatoka ibada ya mkesha mkirudi home mnakuta mbege imeshachanganywa inapumua tartiiib...
Sisi fyetu fiasi, ndizi, wali na makatapela
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji1] [emoji28] [emoji23]
We kimbia tu, halafu tutaanzisha thread majukwaa kadhaa, mpaka kule kwenye jukwaa la lugha, mapishi na jamii palace..lol
whatsapp sipo kaka simu nilipoteza, ila kuanzia 24 ntakuwa likizo.. lazima nikutafute kaka maana kuna bonge la issue ntakujulishaKuna siku nlikutxt whattsap sikukupata.
Hujapata likizo?
Umekosea mi mhayaUnajipa promo nshaka wa Kenyi.