darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Vidume vya Pwani (Dar es salaam,Pwani,Tanga n.k) vina nguvu za kiume za ziada havitaki mchezo mbele ya papuchi na wakati huo huo kujenga miji yao pamoja na kutafuta fedha tofauti na huko migombani mnapopakimbia na kuzuru mwaka mara moja.Infact mnalitia aibu taifa, Wakenya wanawasaidia kuzalisha kwa kuendekeza kunywa matapu tapu mnayoita mbege.We utakuwa mswahili tu MTU wa pwani mnawaza kupigana miti tu! pole sana miss natafuta Mhogo.
Huku hakuna u-primitive kabisa na hatutaki ujinga mbele ya heshima ya ndoa kwanza.