Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

We utakuwa mswahili tu MTU wa pwani mnawaza kupigana miti tu! pole sana miss natafuta Mhogo.
Vidume vya Pwani (Dar es salaam,Pwani,Tanga n.k) vina nguvu za kiume za ziada havitaki mchezo mbele ya papuchi na wakati huo huo kujenga miji yao pamoja na kutafuta fedha tofauti na huko migombani mnapopakimbia na kuzuru mwaka mara moja.Infact mnalitia aibu taifa, Wakenya wanawasaidia kuzalisha kwa kuendekeza kunywa matapu tapu mnayoita mbege.
Huku hakuna u-primitive kabisa na hatutaki ujinga mbele ya heshima ya ndoa kwanza.

tapatalk_1482267919033.jpeg
tapatalk_1482267929360.jpeg

tapatalk_1482267929360.jpeg
tapatalk_1482268004157.jpeg
 
Vidume vya Pwani (Dar es salaam,Pwani,Tanga n.k) vina nguvu za kiume za ziada havitaki mchezo mbele ya papuchi na wakati huo huo kujenga miji yao pamoja na kutafuta fedha tofauti na huko migombani mnapopakimbia na kuzuru mwaka mara moja.Infact mnalitia aibu taifa, Wakenya wanawasaidia kuzalisha kwa kuendekeza kunywa matapu tapu mnayoita mbege.
Huku hakuna u-primitive kabisa na hatutaki ujinga mbele ya heshima ya ndoa kwanza.

View attachment 448759View attachment 448757

View attachment 448757View attachment 448758

Unaishi nyumba ya uridhi kigogo sambusa,Kwenye mko wanaume 8,nyumba ina vyumba vinne,unaishia kukaa kwenye kijichumba,dada zako wameolewa wameleta mabwana hapo,dada ako anakamuliwa unaskizia mguno kwa nje,fanya kazi acha kutukana kwenye jukwaa huru hili
 
Ndio mnavyodanganyana huko kijijini kwenu
 
Kha!, mnanitosa Xmas mzima sababu tu ya ugali?! [emoji22] [emoji123]

Tatizo sio ugali bwana, tatizo hivyo viambatanisho.
Nenda ukale ukirudi twende tukakandanize.
 
Sawa bhana, mpaka mpya wapi? au tuchague popote, bill si inakuja kwako?!
Yaani kwa kuniachia msala tu haujambo, nitakavyowakimbia msije tu kunianzishia thread.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Yaani kwa kuniachia msala tu haujambo, nitakavyowakimbia msije tu kunianzishia thread.

[emoji1] [emoji28] [emoji23]
We kimbia tu, halafu tutaanzisha thread majukwaa kadhaa, mpaka kule kwenye jukwaa la lugha, mapishi na jamii palace..lol
 
Ibada ya usiku ya Xmas naenda hapo Usharika wa Ngaruma na misa ya Kichagga ya Saa moja lazima niudhurie pia..

Inaleta raha pale mnatoka ibada ya mkesha mkirudi home mnakuta mbege imeshachanganywa inapumua tartiiib...
Hahaha kumbe tunasali wote Ngaruma.
 
Back
Top Bottom