raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
Mambo vipi wadau,
Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na familia na wazazi wetu. Tupeane updates ya yanayojiri maeneo mbalimbali kama vile Moshi town, Kibosho, Uru, Marangu, Kilema, Machame, Sanya juu, Hai, Kirua vunjo, Old Moshi, Kahe, Upareni, Rombo na maeneo mengine. tusisahau mialiko kwani huu ndo msimu wenyewe wa sikukuu...
Kwa mjini kama kawaida wadau washaanza ingia na burudani ni kama kawaida.
ni mada ya chit chat, ila ni upuuzi kusema wachaga wote wapo so primitive, hizo ni chuki za kikabila , na wala pengine hata sio mchagaKwenye jukwaa la siasa? tunajadili kwenda mbokomu? mpo so primitive!
sielewi hata kidogo hii chuki inatoka wapi? watu kwenda kwao imekatazwa? huo upiga dili unatoka wapi tena kuanzia lini?huu kwetu ni muda wa kukutana wanandugu tokea maeneo mbali mbali ya dunia kujitathimini na kisha kuweka mikakati mipya ya kimaishaMkuu naskia nyie ndo wapiga dili wenyewe mwaka huu mmedhibitiwa na Kufuli hakuna kula ndafu na Kitimoto ni mwendo wa sukuma wiki tu
nawakilisha toka pande za sanya juu hapa
Huwa mnaenda kutambikia i.e., kumuabudu shetani a.k.a kuabudu majini a.k.a mizimu ya mababu zenu.December Moshi inakua kama Las Vegas...[emoji23][emoji23]
Proudly Chagga
otee iyo nyio kanyi KapsiiiOLD MOSHI hapa nawakilisha. May Ruwa bless us all.
Ok...I feel sorry for you. Ni kwa sababu kwenu hakufai kwenda au? Endelezeni kwenu mlikotoka ndio nanyie muwe proud kwenda huko mwisho wa mwaka. Otherwise ndio utakalia kutunga story za majini. Polee wee!Huwa mnaenda kutambikia i.e., kumuabudu shetani a.k.a kuabudu majini a.k.a mizimu ya mababu zenu.
Achana nao. Badala wajiendeleze na waendeleze makwao watakaa wakiwasimanga wachagga kwa wivu.sielewi hata kidogo hii chuki inatoka wapi? watu kwenda kwao imekatazwa? huo upiga dili unatoka wapi tena kuanzia lini?huu kwetu ni muda wa kukutana wanandugu tokea maeneo mbali mbali ya dunia kujitathimini na kisha kuweka mikakati mipya ya kimaisha
Mnaabudu nashetani wa mizimu yenuOk...I feel sorry for you. Ni kwa sababu kwenu hakufai kwenda au? Endelezeni kwenu mlikotoka ndio nanyie muwe proud kwenda huko mwisho wa mwaka. Otherwise ndio utakalia kutunga story za majini. Polee wee!
Ukishaonesha then....?mchaga lazima kurudi kuonyeaha mafanikio alioyapata huko mjini kwa mwaka mzima
ili kuwaamasisha walioshidwa kufanya mwaka huu mwakani waweze fanyaUkishaonesha then....?
Na tukiabudu...wewe kinakuwasha nini? Kwani siku ya mwisho utaulizwa kuhusu Mungu wa wachagga au Mungu wako? Embu kajambe mbele huku. Warumu wewe.Mnaabudu nashetani wa mizimu yenu
bika kusahau viunga vyote vya Mkuu, Mashati, Mwika mpaka Rombo.Mambo vipi wadau,