Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
bika kusahau viunga vyote vya Mkuu, Mashati, Mwika mpaka Rombo.Mambo vipi wadau,
Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na familia na wazazi wetu. Tupeane updates ya yanayojiri maeneo mbalimbali kama vile Moshi town, Kibosho, Uru, Marangu, Kilema, Machame, Sanya juu, Hai, Kirua vunjo, Old Moshi, Kahe, Upareni, Rombo na maeneo mengine. tusisahau mialiko kwani huu ndo msimu wenyewe wa sikukuu...
Kwa mjini kama kawaida wadau washaanza ingia na burudani ni kama kawaida.
Moshi moja my wii... Karibu sana
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wengi wetu tutazunguka humu humu mjini mwaka huu aisee
Hiyo avatar hadi nimekusahau. Fanya mchakato urudishe ile avatar yako. Ndo ID yako.Kwa mtakaokuwepo huko, ningeomba mpige na vipicha mtuwekee na sisi tulio miss kwenda ardhi ya ahadi tupate kuona yanayojiri huko nyumbani
Mbinu zinabadilika.Mkuu naskia nyie ndo wapiga dili wenyewe mwaka huu mmedhibitiwa na Kufuli hakuna kula ndafu na Kitimoto ni mwendo wa sukuma wiki tu
Kibosho ipi?..........Kirima au Umbwe?Nahisi hii JF 1/3 wamejaa wachagga.
Hivi ni wapi ambapo wachagga sio wengi???
Hahahaah
Sitaki matusi mimi.
Kiiboshoo mojaa hiyoooo!!
ilikuwa zamani hiyo naona, siku hizi hizo mila wala hakuna anayefahamu zinafanywaje, sasa wanaenda kwa mazoea tuHuwa mnaenda kutambikia i.e., kumuabudu shetani a.k.a kuabudu majini a.k.a mizimu ya mababu zenu.
Nakuja na debe mbili za mbege my wii tushushie ng'ombe taratibuAsante my wii na wewe karibu Mwanza ukafurahishe wakwe. Kuna ng'ombe Mzima anakusubiri.
We utakua ipi?Kibosho ipi?..........Kirima au Umbwe?
Utakapokuwa wewe.....Maadam unijuze mapema.We utakua ipi?
Hizo ni stori za kipumbavu zinazosambazwa na wapumbavu kwa malengo ya kupumbavu.Mkuu naskia nyie ndo wapiga dili wenyewe mwaka huu mmedhibitiwa na Kufuli hakuna kula ndafu na Kitimoto ni mwendo wa sukuma wiki tu
Ukienda mahali kisha ukakuta eneo hilo hakuna Mchagga, geuka nyuma urudi ulipotoka maana hapa patakuwa si sehemu salama kwa maisha ya binadamu.Nahisi hii JF 1/3 wamejaa wachagga.
Hivi ni wapi ambapo wachagga sio wengi???
Hahahaah
Sitaki matusi mimi.
Kiiboshoo mojaa hiyoooo!!
HahahahahahUkienda mahali kisha ukakuta eneo hilo hakuna Mchagga, geuka nyuma urudi ulipotoka maana hapa patakuwa si sehemu salama kwa maisha ya binadamu.