Kwahyo Apo ndio unaona kua nyumba Za maana?we nawe wakijijini sanaEti miti na vichaka?
Kwamba watu wanajenga barabarani au vip au hujui kwamba ni barabara kuu?
Hebu jaribu uende kanyigoz mugana kishanda huko vijijini huwa viko hivi.
Na kama hujui kagera kuna mpaka uhaba wa ardhiView attachment 1660228
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Sema bar na mabanda ya kiti moto ndio yatapungua!Wachaga wakirudi makwao na assets zao wakazihamisha wallah miji itabaki na mapagale na mama ntilie pekee
Wivu.comMwaka huu niliamua kufanya tour trip huko Kilimanjaro ili kujifunza na kujionea shamrashamra za Wachaga wakisheherekea sikukuu ya Christmas.
Mpaka sasa bado nipo Uchagani.
Nimefanikiwa kufika maeneo ya Rombo, Mwika, Marangu, Old Moshi, Kibosho na Machame. Sijafanikiwa kufika maeneo ya Kirua Vunjo na Uru. Kuna mambo mazuri sana na mabaya machache niliweza kuyaona, kwa mada hii leo hapa sitayazungumzia mabaya wala mazuri (nitakuja na mada yake baadaye nikikamilisha ziara yangu), bali nitazungumzia baadhi ya mambo yaliyokuzwa kuliko uhalisia wake.
1. Sio kweli kuwa karibu kila Mchaga hurejea kwao kipindi hiki cha Kristmas. Ukweli ni kwamba idadi ya Wachaga wanaorejea makwao kipindi hiki huenda haifiki hata robo katika Miji (namaanisha Boma la Ukoo lenye muunganiko wa familia kadhaa zenye kushare wazazi) niliyoweza kuipitia, zaidi ya 80% ya wauhusika hawakurudi kwao. Kuna maboma kadhaa yalikuwa yamefungwa kabisa, hakuna aliyerejea kabisa!
2. Sio kweli kuwa kila jamii ya Kichaga kipindi hiki huweza kusheherekea Christmass kwa shamrashamra. Nimeweza kukutana na familia za Wachaga Waislamu (hasa maeneo ya Machame na Kibosho), jamii zingine maskini sana na familia nyingi zisizoeleweka nk, hao hawana muda wowote na sherehe za Krismasi. Wako busy na maisha yao mengine.
3. Misafara mingi ya magari binafsi yaliyokuwa yakielekea uchagani yalikuwa ni magari ya familia chache zenye uwezo mkubwa kifedha au maisha ya mbwembwe. Kifupi sana, magari yale huenda yanaakisi 10% tu ya familia za Kichaga. Wengi wa wachaga wamekuja kula sikukuu kwa kutumia usafiri wa umma bila kujali kama wanamiliki magari mijini au hawana kabisa magari.
4. Sehemu kubwa ya miji (maboma) zimejengwa kwa nyumba za kawaida kabisa na nyingine ziko kizamani japokuwa zinaonekana kutunzwa vyema. Zaidi ya 90% sio nyumba za gharama kubwa au kisasa. Pia niliweza kukutana na nyumba duni au mapagala yanayoonekana kutelekezwa lakini nikakuta kuna watu wanakaa!
Umaskini upo tena mwingi tu, mtu mlevi muda wote anapata wapi pesa??
Next week baada ya new year nitaenda kwenu BK nitakuwa pale Muleba, Kijiji cha Kabagunda, na baadaye nitaenda ishamba nitaleta picha hapaUnachekesha wewe kwa hyo wahaya hawajatembea, yaani kila uendako lazima Mhaya utamkuta anasaka life
Hapo wanatamani hata kukulogaWewe huna kwenu?
MTU KWAO kama mliotelekeza ndio mnapata gubu
Kama una njaa au kiu njoo hapa kwangu marangu upooze Koo[emoji1][emoji1]
View attachment 1660202View attachment 1660203
Turudi kule kwenu Singidani kwenye nyumba za tembeMwaka huu niliamua kufanya tour trip huko Kilimanjaro ili kujifunza na kujionea shamrashamra za Wachaga wakisheherekea sikukuu ya Christmas.
Mpaka sasa bado nipo Uchagani.
Nimefanikiwa kufika maeneo ya Rombo, Mwika, Marangu, Old Moshi, Kibosho na Machame. Sijafanikiwa kufika maeneo ya Kirua Vunjo na Uru. Kuna mambo mazuri sana na mabaya machache niliweza kuyaona, kwa mada hii leo hapa sitayazungumzia mabaya wala mazuri (nitakuja na mada yake baadaye nikikamilisha ziara yangu), bali nitazungumzia baadhi ya mambo yaliyokuzwa kuliko uhalisia wake.
1. Sio kweli kuwa karibu kila Mchaga hurejea kwao kipindi hiki cha Kristmas. Ukweli ni kwamba idadi ya Wachaga wanaorejea makwao kipindi hiki huenda haifiki hata robo katika Miji (namaanisha Boma la Ukoo lenye muunganiko wa familia kadhaa zenye kushare wazazi) niliyoweza kuipitia, zaidi ya 80% ya wauhusika hawakurudi kwao. Kuna maboma kadhaa yalikuwa yamefungwa kabisa, hakuna aliyerejea kabisa!
2. Sio kweli kuwa kila jamii ya Kichaga kipindi hiki huweza kusheherekea Christmass kwa shamrashamra. Nimeweza kukutana na familia za Wachaga Waislamu (hasa maeneo ya Machame na Kibosho), jamii zingine maskini sana na familia nyingi zisizoeleweka nk, hao hawana muda wowote na sherehe za Krismasi. Wako busy na maisha yao mengine.
3. Misafara mingi ya magari binafsi yaliyokuwa yakielekea uchagani yalikuwa ni magari ya familia chache zenye uwezo mkubwa kifedha au maisha ya mbwembwe. Kifupi sana, magari yale huenda yanaakisi 10% tu ya familia za Kichaga. Wengi wa wachaga wamekuja kula sikukuu kwa kutumia usafiri wa umma bila kujali kama wanamiliki magari mijini au hawana kabisa magari.
4. Sehemu kubwa ya miji (maboma) zimejengwa kwa nyumba za kawaida kabisa na nyingine ziko kizamani japokuwa zinaonekana kutunzwa vyema. Zaidi ya 90% sio nyumba za gharama kubwa au kisasa. Pia niliweza kukutana na nyumba duni au mapagala yanayoonekana kutelekezwa lakini nikakuta kuna watu wanakaa!
[emoji3] karibu uhayani angalau unywe supu ya sato baada ya kunywa mbege
Bado nakuona wa ajabu,huwez kutembelea nyumba 5 alafu useme ndio utafiti wa jumla
nimekwambia Mimi naongea kwa fact
Soma jedwali hapo chini linaonyesha viwango vya umaskini vya kila mkoa
Mkoa wa Kilimanjaro una umaskini kwa 10% tu
kagera ina umaskini wa 40% nendeni mkajenge kwenu mpunguze umaskini
Kama unabisha endelea ili nizidi kukuumbua kwa facts
View attachment 1660137
Wanakubali kabisa kwamba kwao njaa kali,akiwa Moshi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watu wa ajabu sana, na kama hujawah kufika unaweza kuharibu hadi nauli kumbe unaenda kuona utopolo
Yaani umealikwa christmass na rafiki yako ndo umeenda kukusanya umbea huko.Mwaka huu niliamua kufanya tour trip huko Kilimanjaro ili kujifunza na kujionea shamrashamra za Wachaga wakisheherekea sikukuu ya Christmas.
Mpaka sasa bado nipo Uchagani.
Nimefanikiwa kufika maeneo ya Rombo, Mwika, Marangu, Old Moshi, Kibosho na Machame. Sijafanikiwa kufika maeneo ya Kirua Vunjo na Uru. Kuna mambo mazuri sana na mabaya machache niliweza kuyaona, kwa mada hii leo hapa sitayazungumzia mabaya wala mazuri (nitakuja na mada yake baadaye nikikamilisha ziara yangu), bali nitazungumzia baadhi ya mambo yaliyokuzwa kuliko uhalisia wake.
1. Sio kweli kuwa karibu kila Mchaga hurejea kwao kipindi hiki cha Kristmas. Ukweli ni kwamba idadi ya Wachaga wanaorejea makwao kipindi hiki huenda haifiki hata robo katika Miji (namaanisha Boma la Ukoo lenye muunganiko wa familia kadhaa zenye kushare wazazi) niliyoweza kuipitia, zaidi ya 80% ya wauhusika hawakurudi kwao. Kuna maboma kadhaa yalikuwa yamefungwa kabisa, hakuna aliyerejea kabisa!
2. Sio kweli kuwa kila jamii ya Kichaga kipindi hiki huweza kusheherekea Christmass kwa shamrashamra. Nimeweza kukutana na familia za Wachaga Waislamu (hasa maeneo ya Machame na Kibosho), jamii zingine maskini sana na familia nyingi zisizoeleweka nk, hao hawana muda wowote na sherehe za Krismasi. Wako busy na maisha yao mengine.
3. Misafara mingi ya magari binafsi yaliyokuwa yakielekea uchagani yalikuwa ni magari ya familia chache zenye uwezo mkubwa kifedha au maisha ya mbwembwe. Kifupi sana, magari yale huenda yanaakisi 10% tu ya familia za Kichaga. Wengi wa wachaga wamekuja kula sikukuu kwa kutumia usafiri wa umma bila kujali kama wanamiliki magari mijini au hawana kabisa magari.
4. Sehemu kubwa ya miji (maboma) zimejengwa kwa nyumba za kawaida kabisa na nyingine ziko kizamani japokuwa zinaonekana kutunzwa vyema. Zaidi ya 90% sio nyumba za gharama kubwa au kisasa. Pia niliweza kukutana na nyumba duni au mapagala yanayoonekana kutelekezwa lakini nikakuta kuna watu wanakaa!
Hapa usseri ama?[emoji28]
Nilicheka kweli[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahyo Apo ndio unaona kua nyumba Za maana?we nawe wakijijini sana
Nimemshangaa. Huyu kapita juu juu huko. Hlaf ana conclude kirahis. As if ameishi huko miaka 10.Hebu muambie huyo bwana mdogo, kwani kutumia public transport nao siyo Usafiri? si wanalipa nauli tena nauli kubwa msimu huu? lini ilisemwa wachaga hawatumii usafiri wa Umma kwenda Uchagani?
Machame maeHapa usseri ama?[emoji28]
Kwamba wachaga wanamiliki bar na mabanda ya kitimoto mjini? Basi?Sema bar na mabanda ya kiti moto ndio yatapungua!
Ww inaonekana umetembea ukafika stand. Hujatembea moshi vizuri. Vijijin huko ndani ndani ni lami imepita. Tena ya uhakika no jokes.Nmeshatembea mikoa mingi tu hakuna sehemu yenye usafiri mzuri vijijini kama bk