Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Naona Mtoa uzi na Uzi wake wa chuki kashakimbia na CHUPI [emoji160][emoji160]yake mkononi baada ya shughuli konki alioipata kwa alowatafuta[emoji23][emoji23]
 
Kwamba bukoba huduma zote hazipatikani.


Eti muhaya awe mjenzi na kibarua wa wachaga unaona mnavyojisifia uongo?

Wahaya utawakuta labda shuleni huko au hata vyuoni na kidogo kwenye KAZI za serikali moja ya sifa mbaya ya wahaya hawapendi KAZI ngumu hivyo husitudanganye hapa

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Kaka pengine kipindi hiki hakikuwa kizuri kujifunza ilo ulilotaka kuthibitisha kwani huu mwaka umeisha vibaya saana kwa wachaga na Taifa zima kwa ujumla tofauti na ilivyowahi kutokea huko nyuma . Yapo mengi yaliyochangia ila kwa kuwa sina mda wa kufunguka kwa sasa ntakuachia hili hivi umegundua kuwa hata kwenye siasa kwa mara ya kwanza mkoa uliokuwa unaongoza kwa upinzani (KIlimanjaro) unaongozwa na CCM woote! hao waliosababisha haya ndio wamesabbisha majanga mengine ya kiuchumi kwa mkoa huo na kwingineko kwingi
 
Kwa mujibu wao kule hali ni mbaya ndugu wengi wakishapata mafanikio wanakimbilia Dar na waacha kwao kukiwa patupu
 
Kwanza lazima ujue hata kwenye kurudi kwa wana Isirael kutoka Babylon hawakurudi wote ndio maana kuna Wasamaria na Ashkenazi. Kwahiyo Wachaga hawawezi kurudi wote.

Lakini inabaki kuwa Migration kubwa kwa Africa kila mwaka
Kumbe ndiyo maana wanafananishwa na nyumbu wa The Great Migration kule Serengeti, sasa naelewa. Poleni wazee wa kuoza meno.
 
Meanwhile uhayani unaposema [emoji23]

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…