Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mko nyuma sanaHebu leta za vijijini kwenu.
Mimi nimepost kuonyesha density. Mbona unadandia treni kwa mbele mkuu?
Eti wa kijijini Sana.unafikiri Mie nimezaliwa mamsera huko na mashati[emoji23]
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kwamba bukoba huduma zote hazipatikani.Saivi wahaya wengi wanaongoza kwa vibarua vya ujenzi maeneo ya Kibosho. Nachowakubali wanajenga kwa bei chee sana
Wanakubali kabisa kwamba kwao njaa kali,akiwa Moshi
Maji bure
Kulala pazuri bei chee
Garama za maisha nafuu
Huduma zote zinapatikana
Excuses mobHivi hiyo 60 % ni za uhayani .kwa biharamulo ina watu wachache Sana na ni mapori na nyumba za wavuvi.
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Naona vichaka na logde kama hiyo hapo ipo huko machame.
Wewe unaandika haya ukiwa kwenu au unafanya kibarua Tandale?Watakavokuja na mbwembwe kuushambulia sasa wakati hayo yote ulioandika ni ukweli mtupu, jamaa wanapenda sifa ambazo hawana
Mumshukuru njiwa pori kwa kuintroduce lodge za wavuvi zile za buku per night kwenye mialo yenu la sivyo hata maana ya lodge mngekuwa mna Google mpaka leo 😂Naona vichaka na logde kama hiyo hapo ipo huko machame.
Hiv mnaishi lodge? Na barabarani.
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
we tutusa hizo barabara unazifahamu na route zinazoelekea mlima Kilimanjaro unazijua vizuri?Zimejengwa kwa sababu ni njia za watalii kupanda mlima na wala sio nyie ndo bahati yenu
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kaka pengine kipindi hiki hakikuwa kizuri kujifunza ilo ulilotaka kuthibitisha kwani huu mwaka umeisha vibaya saana kwa wachaga na Taifa zima kwa ujumla tofauti na ilivyowahi kutokea huko nyuma . Yapo mengi yaliyochangia ila kwa kuwa sina mda wa kufunguka kwa sasa ntakuachia hili hivi umegundua kuwa hata kwenye siasa kwa mara ya kwanza mkoa uliokuwa unaongoza kwa upinzani (KIlimanjaro) unaongozwa na CCM woote! hao waliosababisha haya ndio wamesabbisha majanga mengine ya kiuchumi kwa mkoa huo na kwingineko kwingiMwaka huu niliamua kufanya tour trip huko Kilimanjaro ili kujifunza na kujionea shamrashamra za Wachaga wakisheherekea sikukuu ya Christmas.
Mpaka sasa bado nipo Uchagani.
Nimefanikiwa kufika maeneo ya Rombo, Mwika, Marangu, Old Moshi, Kibosho na Machame. Sijafanikiwa kufika maeneo ya Kirua Vunjo na Uru. Kuna mambo mazuri sana na mabaya machache niliweza kuyaona, kwa mada hii leo hapa sitayazungumzia mabaya wala mazuri (nitakuja na mada yake baadaye nikikamilisha ziara yangu), bali nitazungumzia baadhi ya mambo yaliyokuzwa kuliko uhalisia wake.
1. Sio kweli kuwa karibu kila Mchaga hurejea kwao kipindi hiki cha Kristmas. Ukweli ni kwamba idadi ya Wachaga wanaorejea makwao kipindi hiki huenda haifiki hata robo katika Miji (namaanisha Boma la Ukoo lenye muunganiko wa familia kadhaa zenye kushare wazazi) niliyoweza kuipitia, zaidi ya 80% ya wauhusika hawakurudi kwao. Kuna maboma kadhaa yalikuwa yamefungwa kabisa, hakuna aliyerejea kabisa!
2. Sio kweli kuwa kila jamii ya Kichaga kipindi hiki huweza kusheherekea Christmass kwa shamrashamra. Nimeweza kukutana na familia za Wachaga Waislamu (hasa maeneo ya Machame na Kibosho), jamii zingine maskini sana na familia nyingi zisizoeleweka nk, hao hawana muda wowote na sherehe za Krismasi. Wako busy na maisha yao mengine.
3. Misafara mingi ya magari binafsi yaliyokuwa yakielekea uchagani yalikuwa ni magari ya familia chache zenye uwezo mkubwa kifedha au maisha ya mbwembwe. Kifupi sana, magari yale huenda yanaakisi 10% tu ya familia za Kichaga. Wengi wa wachaga wamekuja kula sikukuu kwa kutumia usafiri wa umma bila kujali kama wanamiliki magari mijini au hawana kabisa magari.
4. Sehemu kubwa ya miji (maboma) zimejengwa kwa nyumba za kawaida kabisa na nyingine ziko kizamani japokuwa zinaonekana kutunzwa vyema. Zaidi ya 90% sio nyumba za gharama kubwa au kisasa. Pia niliweza kukutana na nyumba duni au mapagala yanayoonekana kutelekezwa lakini nikakuta kuna watu wanakaa!
Kwa mujibu wao kule hali ni mbaya ndugu wengi wakishapata mafanikio wanakimbilia Dar na waacha kwao kukiwa patupuKwamba bukoba huduma zote hazipatikani.
Eti muhaya awe mjenzi na kibarua wa wachaga unaona mnavyojisifia uongo?
Wahaya utawakuta labda shuleni huko au hata vyuoni na kidogo kwenye KAZI za serikali moja ya sifa mbaya ya wahaya hawapendi KAZI ngumu hivyo husitudanganye hapa
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kumbe ndiyo maana wanafananishwa na nyumbu wa The Great Migration kule Serengeti, sasa naelewa. Poleni wazee wa kuoza meno.Kwanza lazima ujue hata kwenye kurudi kwa wana Isirael kutoka Babylon hawakurudi wote ndio maana kuna Wasamaria na Ashkenazi. Kwahiyo Wachaga hawawezi kurudi wote.
Lakini inabaki kuwa Migration kubwa kwa Africa kila mwaka
Nyumbani kumenoga.......
Usipoteze muda mwingi na huyo kibaruaNimemshangaa. Huyu kapita juu juu huko. Hlaf ana conclude kirahis. As if ameishi huko miaka 10.
Maliza kwanza period nije kukuelewesha mamaKumbe ndiyo maana wanafananishwa na nyumbu wa The Great Migration kule Serengeti, sasa naelewa. Poleni wazee wa kuoza meno.
Uhayani
Meanwhile uhayani unaposema [emoji23]Saivi wahaya wengi wanaongoza kwa vibarua vya ujenzi maeneo ya Kibosho. Nachowakubali wanajenga kwa bei chee sana
Wanakubali kabisa kwamba kwao njaa kali,akiwa Moshi
Maji bure
Kulala pazuri bei chee
Garama za maisha nafuu
Huduma zote zinapatikana
Kijana tulia dawa ikuingie.Sasa ktk nyumba nayo nyumba hiyo? Siyo dharau ila anisamehe tu. There is a time napaona dar pabaya sana compared na kijijini kwetu kuanzia majengo. Yaan hii nyumba ndo ya kujibrag kweli?